kibanda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 4

    Nimeona kibanda Wilaya Hai kidogo kinafaa. Nina Milioni 55

    Wakuu kheri ya Idd, Ndugu zangu wapendwa wote mlio JamiiForums ndani na nje ya nchi nawasalimia katika jina la 47Mbatizaji maana Mungu wetu sote Niliona 'kibanda' flani kipo Wilaya ya Hai, chenye master mbili na vyumba viwilii. Nimejitokeza nataka kwa niaba ya Ndugu na Jamaa kwa bei tajwa hapo...
  2. Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini kumtendea haya sijafurahia. Wahusika mjitathmini.
  3. D

    Biashara ya Kuonesha Mpira wa Miguu (Kibanda-umiza): Fahamu Kiasi cha Mtaji, Vifaa na Mbinu za Uendeshaji

    Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini Dar (hasa mpira wa Ligi Kuu ya Uingereza). Je, vipi ni biashara nzuri kufanya au niachane nayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…