Siku zote nimekuwa naamini kuwa mfumuko wa bei ni kitu kibaya hadi juzi kati nilipoona kinyume chake kwenye kitabu kimoja. Kabrasha hilo linasema kuwa mfumuko wa bei hadi wa 20 percent unasaidia kukuza uchumi.
Huu unasaidia kutengeneza ajira na kuchangamsha shughuli za kiuchumi. Linaendelea...