Dkt. Bryson Mcharo, Daktari bingwa wa mifupa kwa watoto- MOI
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kurekebisha kibiongo ambapo watoto 13 wamefanyiwa upasuaji huo kwa mafanikio makubwa.
Kaimu Mkurugenziu Mtendaji wa MOI, Dkt. Laurent Lemeri...