Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A.
Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo...
Serikali imeanzisha utaratibu wa kufunga Vitasa janja yaani smart lock kwenye nyumba zake za makazi ya kupangisha Ili kuwadhibiti Wanaokwepa Kodi ya Pango.
Swali, kwani hakuna program au software ya kucheza na hii mbinu ili kupata upenyo?
===
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.