kiboko ya wapangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DOKEZO Kwanini Serikali kupitia Wizara ya Nje, wasishirikiane na Wizara ya Nje ya Congo, kumkamata Tapeli alojiita Nabii kiboko ya wachawi?

    Ni suala la kawaida Kwa mataifa mengi , na huo ndio Ushirikiano , Raia wa Nchi A anafanya kosa, anakimbilia Nchi B, basi negotiations zinafanyika, Huko huko Nchi B anakamatwa na kurudishwa Nchi A. Huyu Tapeli Licha ya kuumiza watanzania ,.huko Mitandaoni anaonekana kujitapatapa sana , jambo...
  2. Serikali: Vitasa janja (smart Lock) kiboko ya wapangaji wanaokwepa kodi ya pango

    Serikali imeanzisha utaratibu wa kufunga Vitasa janja yaani smart lock kwenye nyumba zake za makazi ya kupangisha Ili kuwadhibiti Wanaokwepa Kodi ya Pango. Swali, kwani hakuna program au software ya kucheza na hii mbinu ili kupata upenyo? === Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…