Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC.
Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC...
Mchezaji superstar na tegemezi wa timu ya simba Kibu denis, yupo nje ya nchi kukamilisha mazungumzo na klabu yake mpya ya ubeligiji inayocheza ligi daraja la pili, mchezaji huyo alisaini dili jipya na klabu ya simba huku akipewa gari, na pesa zote alizostaili kulipwa, na msimu ulivyoisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.