Kibu Denis, Also Known as Msuva (born 24 June 1994) is a Congolese-Tanzanian footballer player Who play for Simba S.C.Who currently plays as a Forward for Simba S.C, a Tanzanian assossiation football club based in Dar es salaam.
Feisal 'Fei Toto' Salum - Azam FC
Katika dirisha la usajili la kiangazi Julai 2024, Fei Toto alihusishwa na klabu kubwa Afrika kama Mamelodi Sundowns na Kaizer Chiefs kutoka Afrika Kusini, Wydad Athletic Club ya Morocco, pamoja na Simba SC. Hata hivyo, dau lake la TSh bilioni 5.1 (kwa mujibu...
Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili.
Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni.
Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma.
Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa...
Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake
Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis
Kwa sasa hivi...
Mwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana, anachofanya ni kuharibu carrier yake.
Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye timu, kama atarudisha hela na kuondoka tutashukuru sana.
Ni hayo tu.
Pia soma=> Simba kumchukulia...
Kiukweli mpira wa Tanzania ili utoboe unahitaji kujituma, kutokata tamaa na uvumilivu wa viwango.
Kiukweli Mimi ni shabiki na pia mwanachama wa Dar es salaam Young African, naipenda sana hii timu na huwa naumia sana pindi ikifanya vibaya, lakini yote kwa yote mpira huwa na matokeo matatu...
[emoji404]Waziri wa Mambo ya ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema kuwa serikali imempatia uraia wa Tanzania mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Kibu Denis kwa mujibu wa Sheria ya Uraia, Sura ya 357 (Rejeo la 2002), baada ya kupokea ombi kutoka TFF kupitia Wizara ya Sanaa, Utamaduni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.