kibu denis vs simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kibu Denis wewe sio wa kuanzia benchi. Uamuzi sahihi ni kuondoka

    Kiungo mshambuliaji wa Simba Kibu Denis. Nikiangalia Simba yote naona hakuna striker wa kukuweka benchi. Ondokana na ujinga huu. Soma Pia: Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu
  2. C

    Viongozi wa Simba ni wa ovyo sana, Kibu akiachwa ni saratani wanalea

    Kusema kweli nimesikitishwa sana kumuona Kibu akifanya mazoezi tena baada ya drama za kitoto sana alizoifanyia timu na mashabiki wake. Dharau kama hizi zikiachwa ni sawa na saratani mbaya ambayo itaambukiza wachezaji wengine. Sote ni mashahidi jinsi upande wa pili walivyowarubuni wachezaji...
  3. PakiJinja

    Kibu Denis anapaswa kulaaniwa na kila mpenda soka

    Bila ya kujalisha upo timu gani, bila kujali ni wakina nani waliopo nyuma ya Kibu Denis, wapenda soka wote wanapaswa kumlaani kwa alichowafanyia Simba. Simba wamemtoa Kibu huko walipomtoa, wakampambania katika changamoto alizozipitia, wakampa nafasi lakini hakuwapa chochote cha maana zaidi ya...
  4. GENTAMYCINE

    Kibu Denis yamemkuta, Klabu ya Kristiansund ya Norway aliyotaka kwenda yasitisha kumnunua na sasa yuko njiani kurejea Dar Tanzania

    Baada ya Klabu hiyo ya Kristiansund kutuma Maombi yao ya Kumnunua Simba SC wakaambiwa kuwa Wasithubutu na wala Wasipoteze muda Wao Kumnunua kwani bado ana Mkataba na Simba SC. Kusikia hivyo haraka sana Klabu hiyo ikamwambia Kibu Denis imesitisha Nia ya Kumnunua hivyo arejee Kwanza Simba SC...
  5. ngara23

    Nitachukia kama Yanga watashiriki kumrubuni Kibu na baadae kumsajili

    Nimeona mitandaoni ati team yangu ya Yanga ndo wanacheza hizi drama za kumrubuni Kibu ili kumsajili. Huu sio weledi ni jambo baya na uhuni. Sisi ni watu tushindane katika uhalali sio dhuluma. Kibu aache mambo ya ajabu akatumikie team yake Simba. Simba wamempa heshima wakampa mkataba na kalipwa...
  6. Mpigania uhuru wa pili

    Wakati Feisal anawafanyia Yanga uhuni mashabiki wengi wa simba walimsuport haya sasa imetokea kwa Kibu Dennis wamsuport

    Wakati feisal kaingia mitini huku akiwa na mkataba Yanga kuliibuka kundi kubwa la mashabiki wa Simba wakimsupport ile mbaya wakidai ni haki yake Haya sasa imetokea kwao kwa kibu dennis nategemea nguvu zile zile walizokua wanatumia kumsupport feisal wazitumie kwa kibu dennis Kwa sasa hivi...
  7. E

    Kwa mlio karibu na Kibu Denis mpeni taarifa hii muhimu

    Mwambieni yeye ni mchezaji wa kawaida sana, anachofanya ni kuharibu carrier yake. Mmwambie pia mashabiki tulishangaa sana kwanini aliongezewa mkataba mbali na kuwa na mchango mdogo sana kwenye timu, kama atarudisha hela na kuondoka tutashukuru sana. Ni hayo tu. Pia soma=> Simba kumchukulia...
  8. Best Daddy

    Kibu kuisumbua Simba, Taswira mbaya kwa timu

    Moja ya nguvu kubwa ya binadamu aliyopewa ni uwezo wa kufanya chaguo(Choices). Japo knowledge yangu bado ni limited, ili sina imani kama hata malaika wamepewa nguvu ya kufanya machaguo kama alivyopewa mwanadamu. Unaweza kuamua hata sasa kufanya mabaya au mema, kujenga au kubomoa, kuishi au kutoa...
Back
Top Bottom