kichaa cha mbwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nehemia Kilave

    Leo tarehe 28 mwezi Septemba ni siku ya kichaa cha mbwa duniani, tujikumbushe kuhusu ugonjwa huu hatari

    Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu). Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
  2. Hypersonic WMD

    Kichaa cha dini hakina tiba kipo kama kichaa cha mbwa

    Mtu akishapata kuchaa cha dini ndio basi tena. Dawa yake karne hii haipo. China wananyonga lakini wapi Kifupi hiki kichaa IKITOKA IMEENDAA
  3. Friedrich Nietzsche

    Sindano za kichaa cha mbwa Hospitali ya government ni shilingi ngapi?

    Kuna mbwa hapa nyumbani amepata kichaa cha mbwa na alikua anatulambalamba tukiwa tunamtilia chakula! Hizi sindano kwa government had umalize dozi unaweza gharamia sh ngap? Nishachomaga siku nyingi kwa bima na private sijui kwa wenye utalam na vituo vya serikali
  4. Nyendo

    SI KWELI Mtu akingatwa na mbwa mwenye kichaa, anachomwa sindano kwenye kitovu

    Nimesikia mtu akingatwa na mbwa mwenye kichaa anachombwa sindano saba kwenye kitovu, ikiwa ni njia ya kuzuia yeye asipate kichaa. Je, Hii ni kweli?
  5. Cute Wife

    SI KWELI Uking'atwa na mbwa mwenye kichaa mwishowe utabweka kama yeye

    Wakuu, Nimekuja na swali hili baada ya jamaa mmoja kusema jambo hili sio la kweli, lakini mimi pia nimeshawahi sikia hii, bi mkubwa alituhadisia kuna ndugu yao mmoja aling'atwa na mbwa mwishowe alipokaribia kwenda kwenye ulimwengu mwingine alikuwa akibweka kama mbwa. Naamini hata wewe unayesoma...
Back
Top Bottom