Kichaa cha Mbwa ni ugonjwa hatari unaosababishwa na kundi la virusi waitwao Lyssa (kuna virusi wa Rabies na virusi wa Australian bat wote hawa huleta ugonjwa huu).
Ugonjwa huu huwapata binadamu kwa kuumwa na mnyama Kama Mbwa, Mbwa mwitu, paka, Fisi, popo na wengineo wa jamii hiyo mwenye virusi...
Kuna mbwa hapa nyumbani amepata kichaa cha mbwa na alikua anatulambalamba tukiwa tunamtilia chakula!
Hizi sindano kwa government had umalize dozi unaweza gharamia sh ngap?
Nishachomaga siku nyingi kwa bima na private sijui kwa wenye utalam na vituo vya serikali
Wakuu,
Nimekuja na swali hili baada ya jamaa mmoja kusema jambo hili sio la kweli, lakini mimi pia nimeshawahi sikia hii, bi mkubwa alituhadisia kuna ndugu yao mmoja aling'atwa na mbwa mwishowe alipokaribia kwenda kwenye ulimwengu mwingine alikuwa akibweka kama mbwa. Naamini hata wewe unayesoma...