kichapo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanajeshi wa Israeli waendelea kuingia Gaza taratibu na kutoa kichapo

    Lakini wanatumia akili wapo makini, hawaingii kichwa kichwa kama Warusi walivyofanya Kyiv na kuangukia pua, hawa wanaingia kiaina yaani kikomando, na mpaka sasa wako Gaza ndani wanasukumiza kichapo. Inabidi kutumia akili maana magaidi ya kidini sio wapiganaji wa kawaida, lazima utumie ukomando...
  2. FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

    Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu 1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara) 2. Namungo...
  3. Kawe leo hii kuanzia Saa 1 hadi Saa 3 Usiku kulitokea nini hadi MP wa JWTZ Kufurika, Kukamata Watu, Kutembeza Kichapo na Kuzua taharuki?

    Na eneo walilokuwa wanadili nalo ni kuanzia Ukwamani hadi Kanisani na MP ndiyo walikuwa Wengi huku Wakikamata Watu ( hasa hasa Vijana Wahuni ) wa maeneo hayo. Ila kama nilichokisikia ni kweli Kwanza nitoe Pole kwa Mhusika na Taasisi yake ila Niwaase pia Vijana ( hasa Waendesha Bodaboda na...
  4. Marekani yapeleka meli ya pili ili kuhakikisha hakuna mtu atakayeingilia wakati Israel wanatembeza kichapo

    Hizi meli ni zenye uwezo mkubwa sana tena ikiwemo kubeba mindege ya kisasa ya kivita, Marekani kazisogeza hapo ili kuhakikisha hakuna kenge ataingilia kati wati Israel inatembeza kichapo. ============================ Washington/SeoulCNN — The Pentagon has ordered a second carrier strike group...
  5. Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe leo baada ya Kichapo ndiyo unajua kuwa Ligi ni Marathon?

    "Ligi Kuu ni Marathon hivyo bado Michezo iko mingi na huu wa leo ndiyo Kwanza wa Nne hivyo msiwe na wasiwasi" amesema Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe akiongea na Waandishi wa Habari baada ya Kichapo cha Mbarali leo. Hivi Wewe Ali Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) na wana Yanga SC Wenzako ukiongozwa...
  6. Ni sahihi kumpa kichapo dingi iwapo anampiga mama?

    Jamaa mmoja mtu mzima na familia yake ana wazazi wake ambao wako above 60. Sasa dingi yake akajitia ukidume kumpiga mama yake mbele ya jamaa. Jamaa akaingilia na kumtwanga baba yake, akimkunja chini. Hili suala ni sahihi? Baba yako akimpiga mama yako mbele yako unaweza ungilia kupigana na dingi?
  7. Hii ndio orodha ya wasanii, maproducer, watangazaji wababe kwenye Bongo Flava, kichapo nje nje!!

    Tutawazungumzia kwa kigezo cha kipindi wakiwa kwenye ubora wao, Hata Tyson huwezi kumjudge ubora wake kwa sasa maana umri umeshaenda, hayupo active kama zamani. 1. DUDU BAYA chuma kilichokuwa kinasumbua kikiogopwa na kuogopeka kwa wasanii na KWA MAPROMOTAR NA MA D. J MARADIO PRISENTER NI OIL...
  8. Ukraine waanza kutembeza kichapo kwa kutumia cluster bombs, Putin alisema zikitumika atafanya jambo

    Putin amekua akichora mistari na kusogesha magoli ya mikwara, juzi alisema Ukraine wakipewa cluster bombs hapo mstari utakua umevukwa na atafanya kitu, haya sasa wamepewa na zinatembeza kichapo ile mbaya, sijui atachora mstari upi mwingine. US-supplied cluster munitions have been deployed in...
  9. Siwezi kuficha furaha yangu kwa Yanga kula kichapo

    Nipo hapa kuueleza umma kwamba mimi nisiwe mnaa. Furaha yangu kwa Utopolo kula kichapo haiwezi kufichika kwa uzalendo uchwara. Nawaombea mkienda huko Algeria mchakazwe kama mbwa koko mkirudi msitamanike kabisa. Mna midomo sana Nimefurahi sanaaaaaa
  10. Simba kama mmekubaliana na kichapo cha Wydad msihamishie hasira Kwa Yanga

    Inashangaza sana kufungwa mfungwe nyie , timu mbovu mmerundikana nyuma tuuu , no On target hata moja , kibu D anakimbiza mpira kama nyumbu anaangalia Tu chini, wala haoni wenzake walio pembeni , hakuna attacking midfielder anayeweza kupunguza angalau wachezaji wawili ama wa tatu wa timu pinzani...
  11. Hakuna cha kufungwa kiume kichapo ni kichapo tu

    Simba tengenezeni timu timu ni ya kuunga unga Sana na wazee ni wengi kwenye timu Haya mambo ya tumetolewa kiume ni utoto jengeni timu ya kushindana haswa mlitakiwa kupata goli ugenini kuua game kabisa leo sema kikosi hakuna tuwe wakweli!! Ligi ya mabingwa inahitaji uwekezaji karibuni tena...
  12. Rais wa Belarus ahaha, aomba Urusi imlinde dhidi ya kichapo

    Urusi imekua ikitumia ardhi yake, ameomba hakikisho kwa Urusi kwamba itamlinda dhidi ya kichapo, mambo yanavyokwenda ni dhahiri Urusi imeshindwa, usupapawa umewaisha, wamekwama kwenye kamji ka Bakhmut na juzi kuna mikakati ya Ukraine imevujishwa namna wanajiandaa kurejesha vilivyoporwa...
  13. Ile safari ya Arsenal kutokuchukua ubingwa inaanza leo kwa kichapo pale Anfield

    wote tumekubaliana kuwa Arsenal hatobeba ndoo. Basi katika ile safari yake ya kutochukua ubingwa leo pale Anfield atachapika magoli 2-1. Kama unabisga subiria dakika 90.
  14. Adam Mchomvu wa Clouds FM endelea hivyo hivyo kutembeza Kichapo kwa Wapuuzi na Wanafiki tupo na tutakutetea

    Mmeshajua kuwa Adam Mchomvu hapendi Shobo na kwamba ukijaa tu katika 18 zake Unachapika kwa Kipondo chake Tukuka na cha Kishalubela kwanini Umchokoze? Nimefurahi mno alivyotoa Dozi kwa mwana Yanga Mmoja na Msanii huku Yeye Adam Mchomvu akiwa ni mwana Simba Kindakindaki Mwenzangu. Hopeless...
  15. Ukraine wapewa kichapo kwa kosa lao

    More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
  16. Ukraine wapewa kichapo kwa. kosa lao ..

    More than 600 Ukrainian troops killed in ‘retaliation operation’ – Moscow The strike in Kramatorsk was a response to the Ukrainian shelling of Makeyevka on New Year’s night, the Defense Ministry says More than 600 of Kiev’s troops have been eliminated in a Russian missile strike in the...
  17. Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  18. Kwa takwimu hizi, Mshale unaonyesha Ufaransa anaenda kuchezea kichapo heavy semi final FIFA W/C

    Katika mechi 11 zilizopita Ufaransa ameshinda mechi 5 , amefungwa mechi 4 na ametoka droo mechi mbili, amefunga magoli 17 na amefungwa magoli 13 Kwa upande wake Morocco , katika mechi 11 zilizopita, ameshinda mechi 8 , hajafungwa mechi hata moja , ametoka droo mechi 3, amefunga magoli 19 na...
  19. Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  20. Natabiri Urusi atatembeza kichapo cha haja leo usiku hapo Ukraine

    Urusi uzuri wake husubiri achokozwe na ndipo hujibu.... Baada ya kuchokozwa na kushambuliwa meli zake kule baharini natabiri pale Kiev leo hakutalalika na tutarajie kichapo cha haja.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…