kichefuchefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA jifunzeni maamuzi ya Leo CCM kwa viti maalum hivi sio viti vya familia ama ukoo flani ama kabila flan tu

    January niliandika sana hapa nkalia sana na haya mambo ya VITI MAALUM Nkaelezewa sana madhara yake kuna watu wako vijana wanazeekea voti MAALUM kiasi cha kwamba WAKIFIKA kule HATA akili aziwazo kusaidia wananchi WANAJUA watachsguliwa Tena wakipitidha mambo yaooo Sio hivyo iliwafanya HATA...
  2. K

    Wanaopewa ajira kwenye vyombo vyetu vya ulinzi wawe wanaoipenda kazi hiyo kwa moyo na kujivunia kuifanya

    Yanayoendelea sasa kwa baadhi ya askari wa jeshi la polisi ni matokeo ya watu kufanya kazi wasiyoipenda. Hawawezi kuifanya kwa ufanisi. Hapo zamani za kale kimbilio la waliokosa ajira ilikuwa fani ya ualimu. Kilichotokea ni kushuka kwa kiwango cha elimu nchini kwasababu ya kukosa morali ya...
  3. J

    Tanga: Mkuu wa wilaya Kilindi, Hashim Mgandilwa uwezo wake wa kuongoza unatia shaka

    Rais wangu nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mimi raia wako Rashidi Jumaa kutokea Tanga wilaya ya Kilindi ni mzawa wa huku Sauti ya mnyonge huwa haisikiki kwa urahisi, nimeona nilitoe dukuduku langu humu kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kero tuliyokuwa nayo na huyu...
  4. A

    TRA mfumo wenu unasuasua mno

    Toka saa 8 mchana mpaka muda huu saa 18:24 nimeshindwa kufanyiwa assessment kwa sababu mfumo wenu uko chini. Hii ni kero
  5. Dar kama hujaja siku nyingi siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu

    Dar kama hujaja siku nyingi, siku ya kuja lazima udakwe na kichefuchefu. Kichefuchefu ni kitendo cha mwili kujilinda dhidi ya sumu. Mtu akila sumu au kitu cha kudhuru mwili una sense na kuleta kichefuchefu ili ukitapike. Sasa hata hewa nzito na mbaya inaenda kushtua eneo lile lile...
  6. S

    KERO LATRA Arusha ni kichefuchefu: Nauli mpya za daladala wananchi tunapigwa sana

    Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba. Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
  7. S

    Siyo TANESCO tu hata TTCL ni Kichefuchefu kingine

    TANESCO hawana jina zuri kwa sasa mbele ya wananchi kutokana na kukatika ovyo kwa umeme lakini hawa TTCL ni wa ovyo na wazembe kupindukia. Maeneo ya Oysterbay takriban mita miatatu hivi kutoka ofisini kwao kuna nguzo ya simu ilianguka yapata siku kumi hivi zimepita. Hii nguzo imeangukia kwenye...
  8. Kichefuchefu, msaada wa haraka

    Wadau Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini? Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo Mapenzi nina miezi sijaweka kwa hewa je linaweza kuwa tatizo? Msaada wadau
  9. Mtangazaji wa Sibuka Radio aliyesoma Vichwa vya Habari leo arudi tena Darasani anatia 'Kichefuchefu' Kumsikiliza

    Tafadhali Mzee wangu na Mmiliki wa Sibuka Media Dk. Nangale na Mkeo Doreen Nyange ( Boss Mwandamizi Sibuka Media ) mmekumbwa na nini Siku hizi hadi mnaajiri Watangazi wa hovyo hovyo na wanaotia Kichefuchefu kuwasikiliza kama huyu wa leo? Nawaombeni hebu rejeeni Kukagua Academic Credentials za...
  10. M

    Double Standard bila soni: Mbatia kutojihusisha na NCCR hadi itakapoamuliwa vinginevyo, Wabunge 19 kujihusisha hadi itakapoamuliwa vinginevyo

    Msajili wa vyama vya siasa amebariki uamuzi wa Mbatia na Sekretarieti yake yote KUTOJIHUSISHA na siasa ndani ya NCCR Mageuzi hadi itakapoamuliwa vinginevyo (yaani endapo wataenda mahakamani), Lakini tukija upande wa wabunge wa Covid 19, wenyewe wataendelea KUJIHUSISHA na siasa ndani ya CHADEMA...
  11. Magazeti ya leo Februari 15, 2022 yanatia kichefuchefu kuhusu Mbowe

    Nimeona Magazeti Makubwa kama Mwananchi, Nipashe yamebeba kichwa Cha habari eti "MBOWE ALIA NJAA" Alichokizungumza MBOWE ni Haki ya mtu kuvunjwa! Inakuweje iitwe kulia njaa? Pia issue hiyo sio ya kwake peke yake inaonyesha wafungwa wengi ni wahanga. Kwanini hivi vipeperushi vimejaa njaa...
  12. P

    Siasa imeharibu miradi ya maji kichefuchefu nchini

    Miaka nenda rudi majimaji,maziwa,mito na mabwawa yamejaa. Wamisionari walijenga miradi ya maji miaka mingi lakini bado inadumu na inafanya kazi. Miradi kichefuchefu nani husababisha.
  13. Gazeti la Daily News ni kichefuchefu. Kila siku front page ni JPM ......

    Haya magazeti huletwa kazini kila siku ya kazi ili kutimiza azma ya kuwapa watumishi haki yao ya kupata habari kama katiba inavyosema. Sasa karibu kila siku lazima ukutane na title ya JPM kafanya hili, mara JPM kasema hili, mara JPM kamtumbua kigogo. Hata kama ni mahaba sasa haya ni mahabati too...
  14. S

    Kwanini nikila maembe huwa nasikia kichefuchefu na kutapika?

    Ni imani yangu kuwa wote ni wazima Mungu anaendelea kutupigania. Naomba msaada wana JF Nilikuwa nakula maembe kama kawaida pasipokuwa na shida yoyote, lakini nina miaka kama sita sasa hivi sidhubutu kula maembe au kunywa Juice ya maembe kwa sababu kila nikila embe au nikinywa juice ya embe...
  15. Uchaguzi 2020 Askofu Gwajima: Nina Jina la Kiislamu, ninaitwa Rashidi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM, Askofu Josephat Gwajima amesema ana jina la kiislamu ambalo ni Rashidi Gwajima. Amesema alipata jina hilo baada ya kutelekezwa kwenye msikiti ambapo pia alisema waislamu ndio waliomsomesha katika miaka yake ya awali. Kutokana na suala hilo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…