kichwa cha mkwawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wahehe walikuwa na uhakika gani kwamba fuvu walilopewa ni la kichwa cha Mkwawa?

    Nianze kwa kumuenzi jemedari Mkwawa kwa ujasiri wa kukabiliana na Wajerumani. Kama kuna mtu ana details za kutosha atusaidie ili tuweze kufahamu kuhusu hii issue. Kama uongozi wa wahehe wakati huo ulikuwa una uhakika kwamba ndio fuvu la chief au tu walifanya kuamini hivyo hivyo na kulipokea.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…