Wadau hahabrini zaasubuhi,kuna jambo kidogo ningependa kuwashirikisha ili nione mnanisaidiaje,,
Nimeamka asubuhi muda huu kama ilivyoada kwauume kusimama kiafya,kwangu nimeona utofauti kwani uume umesimama kuelekea mbele then umejikunja kati kati karbu na mwanzoni kidogo kuelekea juu...