Kwa wale wanaofundisha shule za Dar es salaam huu ni ujumbe kwenu. Fanya kazi sana lakini ujue hakuna bosi anayejali maslahi yako, utafanya kazi kama punda, sifa zote kwa mwenye shule.
Kuna shule hasa hizi kubwa kubwa wafanyakazi hawafanani na ukubwa wa shule, mfano unakuta waalimu wamechoka...