Kipindi tukiwa watoto, baba unakuta amesafiri, kaenda zake shamba wiki mbili au tatu, akirudi unaona mama kapika ugali-kuku na maziwa ya mgando ,mchicha pembeni na pilipili kichaa vijana wa mjini wanaita mwendokasi.
Asubuhi tunatumwa sokoni kuandaa karanga mbichi na mbata, alafu mama anasema...