Wakuu.
Niko hapa kwa majirani kwa rais anayewasumbua wale wenye timu iliyopigwa na timu ya wananchi jana
Niko kikazi, nilifika hotel fulan standard but si kali sana ila bei kubwa, nilikuta pisi moja reception iko na sura ya kukidhi.
Sasa jana nimelala, ile pisi ikawa haipo, leo imekuja basi...