kichwa

Kichwa (Kichwa shimi, Runashimi, also Spanish Quichua) is a Quechuan language that includes all Quechua varieties of Ecuador and Colombia (Inga), as well as extensions into Peru. It has an estimated half million speakers.
The most widely spoken dialects are Chimborazo, Imbabura and Cañar Highland Quechua, with most of the speakers. Kichwa belongs to the Northern Quechua group of Quechua II, according to linguist Alfredo Torero.

View More On Wikipedia.org
  1. Kichwa cha Treni Kitabadilika kuwa hivi?

    Kueni watulivu jamani pengine ni uchovu wa safari kikipumzika kitakua kama hivi
  2. Siasa zisikuumize kichwa, says a Kenyan guy

  3. Arusha: Aliyeua na kuondoka na kichwa cha mlinzi ni mlinzi mwenzake

    Raymond Mollel amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mlinzi mwenzake kwa kumchinja na kuondoka na kichwa chake bila kuiba kitu eneo la tukio. Mtuhumiwa huyo amekiri kuhusika na mauaji na kuonesha alipokificha kichwa cha mwenzake. Raymond na marehemu walikuwa walinzi wa Meya wa Arusha...
  4. Naomba kujuzwa dawa ya kutibu tatizo la kichwa kuuma mara kwa mara

    Habari wapendwa? Nakuja kwenu kuomba anaefahamu dawa ya maumivu ya kichwa kwani yamekuwa yananisumbua kila siku najikuta natumia painkiller kila aina lakini zinagonga mwamba huu mwaka was saba sasa kinanisumbua tu. Nimeenda hospitali mbalimbali lakini naambiwa sina, nimepiga CT scan MRI...
  5. L

    Baada Rais Samia kunila kichwa nimeamua kuokoka

    Najutia usaliti wangu kwa upinzani.Nimeamua kukabidhi maisha yangu kwa Mungu huenda mama akanikumbuka tena. Natamani kurudi CHADEMA lakini hawatanielewa. Nawasihi wasaliti wezangu akina Bashiru,Kitila, Dk.Slaa na wengine watubu kwa Mungu kama mimi kwa usaliti wa hali ya juu waliowafanyia...
  6. Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama. Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo. Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua...
  7. Nimepata kidonda kikubwa kwenye kichwa cha uume baada ya kunywa malafin

    Wakuu nimemeza malafin kwaajili ya malaria, siku ya pili yake nikahisi maumivu kwenye uume kucheki kuna kama vijipele hivi, nikavichukulia poa kuamka siku ya pili yake limekua donda, yani ni kama jeraha la moto linanikondesha sana kwani siwezi nikasema kuwa ni gonjwa la zinaa coz sijasex...
  8. Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  9. Karia anapaswa kuliwa kichwa mapema, kabla hajatufikisha pabaya zaidi

    Yawezekana watu wengi sana wanatizama na kuona kuwa soka la Bongo limekuwa katika miaka ya hivi karibuni. Lakini tujiulize mbali na mafanikio binafsi ya vilabu hasa Simba na jitihada binafsi za mchezaji mmojammoja kama Samatta na Msuva ni nini kingine ambacho sisi kama Taifa tunaweza kujivunia...
  10. U

    Siasa pembeni, Polepole Vs Nape? Nani kichwa

    Tuweke Kila Kitu pembeni , Yani tuwe Kama wachambuzi wa soka, uchama pembeni, nataka Leo tumalize utata wa nani mkali na Ana akili na IQ kubwa Kati ya Nape na Pole Pole , Achaneni na mambo yaliyofanyika huko nyuma wafanyieni assement Kama neutral candidate, tujikite katika mambo yafuatayo: 1...
  11. Katika maisha tunahitaji kichwa chenye ubongo na akili zenye maarifa

    Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo. Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri nzito ndani ya neno sijui na kuna maumivu makali ndani ya neno niko sawa alisema muhenga wa kale...
  12. Wakenya hawajui Kiingereza; Watumishi wa afya 290 kati ya 300 wafeli mtihani wa Kiingereza ili kupata kazi Shirika la Afya la Uingereza

    Watumishi wa afya 290 kati ya 300 nchini Kenya wamefeli mtihani wa Kiingereza ambao ungewawezesha kupata kazi katika shirika la afya la Uingereza (NHS). Julai 2021 Kenya iliingia makubaliano na Uingereza ambayo yatatoa fursa za ajira kwa wauguzi (wa Kenya) ambao hawana ajira.
  13. D

    Msaada unahitajika maana naona kichwa kinaelekea kupasuka

    Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi kamtelekeza mtoto wetu mdogo mwenye umri wa mwaka 1 na nusu kwa sister wangu. Sister yeye ana...
  14. J

    SoC01 Maswali yaliyogonga kichwa ushindi wa lazima

    Je, ni kweli hakuna ajira kisa wasomi ni wengi? Kusema wahitimu hawana uwezo wa kuajiriwa au kujiajiri? Je, vijana tunaelewa kuwa maendeleo ni mchakato na si kulala masikini ukaamka tajiri? Je, tumegundua kuwa elimu ya sasa na ile ya miaka ile ni tofauti kitakwimu kabla ya kusema kwa nini...
  15. M

    Kichwa cha mbuni mchangani

    Imezungumzwa sana na wahenga kuwa mbuni anatumbukiza kichwa mchangani kujificha wakati mwili mkubwa unaonekana nje. Ni aina fulani ya kujidanganya. Tanzania kuna mahali tumefikia tumekuwa kama mbuni! Chama kikongwe cha CCM kuna mahali kimefikia kujifanya kama mbuni!! Nimeisikiiza hotuba ya Rais...
  16. Rais Samia anapaswa tu kutuliza kichwa 'Patience', bado amefanya mazuri mengi. Atulize tu spidi bado ni kiongozi mzuri

    Mimi ni mmoja wa watu ambao huamini kwamba, mtu akichafuka mguuni sio kwamba amechafuka mwili mzima. Hivyo basi, uungwana ni kuzodoa uchafu wa mguuni lakini wakati huo huo kusifia utanashati pale pote pazuri tofauti na mguu ambao umechafuka. Hii inaitwa kuwa 'positive' katika kuyatizama maisha...
  17. Neural link - Smartphone itakayopandikizwa ndani ya fuvu lako la kichwa, itafanyakazi wirelessly

    Video ni hii hapo chini, kama una muda wakutosha na una bando na lugha ya malkia haikupigi chenga, basi itazame. Siku zijazo, taarifa zako zote binafsi na za kibenki zitatunzwa humo, na manunuzi pia unaweza ukayafanya kwa kutumia kifaa hicho kama ATM kadi yako. Kutumia pesa cash kufanya...
  18. Mkuu wa Mkoa, jukumu la kuwaondoa Wamachinga ni lako. Usilikwepe

    Mkuu wa Mkoa kuagiza Wakuu wa Wilaya wawaondoe wamachinga barabarani ni kuwapa mzigo wasiouweza asilani. Hawa wamachinga walikwisha pewa jeuri na viongozi wakuu wa taifa na tumeshuhudia waliojaribu kuwaondoa waliondoka wao! Wewe binafsi uliwahi kuwapa muda wa kuondoka kwenye eneo la ujenzi wa...
  19. Swali la kipombe: Kuishi demu Marekani kwa amani na kuishi Afghanistan mwanaume Ila utauawa na Taleban, kipi Bora?

    Hili swali nimejiuliza hivi kuishi mwanamke USA New York maisha yako yote au kuishi kidume Afghanistan halafu baada ya miaka kumi au 20 unajikuta kwenye war zone halafu Taleban wanakuhisi ni traitor wanakuuwa kwa kukukata shingo kwa kisu polepole ungechagua kipi? Mimi mzee baba ningechagua kuwa...
  20. Imeniuma Sana kuona ng'ombe anakatwa kichwa, sitakula nyama maisha yangu yote

    Ndugu Wana Jamiiforums sikujua Kama ng'ombe anachinjwa kikatili vile. Alilia Sana Akatoa haja zote Mwisho alilia machozi Macho yakageuka rangi huku machozi yakambubujika kwa uchungu. Imeniuma Sana naahidi kuwa vegan. Superbug
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…