Mimi nakumbuka hii hapa.
Siku hii tukiwa na ma fans wa Germany, baada ya matokeo, Pombe zilinyweka kuanzia saa 6 usiku huo Hadi kesho yake saa 6 usiku. (Mengine sisemi).
Toka siku hiyo sijwahi kunywa tena kiasi kile.
Huko Brazil nako Serikali ikatangaza maombolezo ya kitaifa 😂😂
Kwa kifupi...
Habari za muda huu waungwana wa hapa jamvini......
Kwenye ulimwengu wa sasa uliojaa changamoto za ulaghai na uaminifu imekuwa ni changamoto kubwa sana kukutana na mwenza mwenye moyo wa dhati wa kujenga maisha na wewe......
Limekuwa jambo la kubahatisha kwa kuwa wakati mwingine waongo na wa...
Haya wanaume jibuni hili fumbo, kuna ukweli wowote katika hili?
Kama ni kweli mbona wanaume wa Tanzania wanapenda sana Minyambizi?
Yani Minyambizi ndio inaendesha range na wembamba Passo.
Nina mwaka mmoja Dar, nafanya kazi kampuni moja hivi nzuri, kitengo safi Elimu zile za kula kiapo Baada ya miaka 6 ya chuo na intern.
Changamoto moja nina mpango wa kuoa mwaka huu, nina manzi watatu wote kimsingi wakali.
Mmoja anasoma chuo anapenda out sana pia ni celebrity.
Mmoja anafanya...
Hii ni wakati tukimpambania Dk. Slaa:
Pia soma: Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa
Nani asiyejua kuwa TAL ni High Valued Target (HVT) kwa maadui wote wa ndani na nje?
Kwamba kwa maneno yao wenyewe, kumbe kipi kinaweza kisiwepo mezani?
Kwamba wengine wanajutia kushikilia chupa...
Kwa mtu mwenye akili timamu hawezi ku behave kama anavyo behave Lisu.
Kama kutafuta cheo ndiko huku, hafai kwa lolote.
Hakuna pungufu kubwa kama kukosa kaba ya Ulimi!
Hakuna kosa kubwa kama KUROPOKA.
Hakuna kosa kubwa kama kukosa shukrani
All these boil down to one cause: Kuna nati fulani...
Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga
Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na...
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii...
Habarini JFcians!
Kutokana na mitazamo ya wengi kuhusu watu wa pwani, watu wa pwani wanachukuliwa kama ni weak kiakili na hata kiuchumi.
Jambo linalonishangaza mpaka leo hii ni hili la Mkwere na Edo!
Hivi inakuwaje mtu wa kaskazini anakuwa outsmarted na mtu wa pwani?
Ni wazi Mkwere alikuwa...
Wazee nawasalimu kwa jina la Baltazar....
Huyu Binti ni nurse katika hospital ya wilaya.
Nilimpata tuna kama mwezi sasa, alinizoea ghafla kiasi kwamba unaweza dhani ni mtu ambaye alikuwa na ukame sana wa wanaume.
Baada ya kuanza mahusiano zile panda shuka kwenda na kurudi hospital nikawa...
Samahani
Nimekuwa buzy naona kama napitwa
Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan?
Mbona kila mahali wanakataliwa?
Nini mbaya nyiee?
Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaa
Kujua mazingira ya mtu anayoishi.
Kujua uwezo wa mtu kichwani.
Kujua tabia ya mtu.
Natazama hair style na shoe style ya mtu baaasi.
Wewe unatazama nini?
Wenye akili tunajua na ushahidi tunao ya kwamba ili udumu na mwanamke katika mahusiano lazima uwe dikiteta au jasusi kwake (hata wao ndivyo wanavyotaka) lakini ukijifanya lofa na kujifanya eti unampenda saana na kumzimia saana lazima akunyee kichwani. Familia nyingi zimeanguka sababu kubwa ni...
Hii ni moja ya quotes alizowahi kupost Waziri Rajabu ambaye ni Katibu binafsi wa Rais wa JMT.
"Tumeishi maisha ambayo mioyo yetu inapenda sana kusaidia watu ila kwa matukio tuliyo kumbana nayo tukiwa tunasaidia watu yametufunza tusiwe wepesi kusaidia watu na badala yake saidia sana familia yako...
Kabla ya kuingia Misa hapa nikasema tulia niendelee kupitia Speech za Huko UNGA 79th session Jana nilikua na ya Anko Benjamin hadi network ikakata.
Nikaanza na ya MP wetu anapeleka salam tu za Samia yani hadi salam anasoma kwenye Karatas nikasema aya. Anavyoa address utasema form 4 nikaitoa...
Hello!
Mimi ni mtumishi wa Mungu, I know God. Sio mtumishi wa kuenenda kwa hisia. Hata nikimwombea mtu jambo siishii tu kumwambia amini utaponywa au utatendewa. Nitamwombea mpaka nipate jibu kutoka kwa Mungu kuhusu situation yake.
Nimegundua jambo ambalo watu wengi wakilichukulia maanani...
Mjuavyo tena katika mahusiano, kugombana na kurudiana ni kitu cha kawaida; mtakaa na kuombana msamaha na hatimaye mnafikia muafaka.
Jana jioni, mrembo akaamua kuja kunitembelea nyumbani kwa mapigo ya kichokozi chokozi, lengo ni kuniamsha hisia ili niweze kusamehe na kusonga mbele.
Mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.