Rapa kutoka Mexico, Dan Sur @dansurig amefanyiwa upasuaji na kuondolewa nywele zake kichwani na kuwekewe cheni za dhahabu. Dan Sur anasema alitaka kufanya kitu tofauti, kuwa binadamu wa kwanza kuwa na cheni za dhahabu kichwani badala ya nywele, "Hizi cheni zimewekwa ndani ya ngozi yangu, mimi ni...