Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha viongozi wateule Ikulu ya Tunguu, Zanzibar, leo Julai 5, 2024
https://www.youtube.com/live/MSSEPF3ioMs?si=gBRTSs5sSflxcq9D
Rais Samia amewapongeza wateule wote kwa kupata nafasi mpya. Amemtaka Jafo kurejea Ilani ya chama...