Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana wazo hili unaweza kumpatia ushauri huu. Natoa ushauri huu from experience na niliyoyaona baada ya...
Kulikoni siku hizi kwenye elimu ya nchi hii.?
Ni kwamba sisi zamani tulikuwa na uwezo mdogo wa kiakili ama la?
Au zamani elimu ilikuwa ngumu?
Au watoto wa siku hizi wana akili na uwezo mkubwa kuliko sie?
Au elimu na ufundishaji umekuwa bora sana kiasi kwamba Div. 1.7 zinaweza kutolewa na darasa...
Mitihani ya kidato cha nne imeanza Jumatatu ya tarehe 11 Novemba.
Leo Alhamisi moja mitihani waliyofanya ni practical Biology.
Kuna kituo cha watahiniwa binafsi kipo Sinza leo wamewazuwia watoto watano wasiingie kwenye mtihani wakiwa wamefika kituoni saa moja na dk 35 na mtihani umeanza saa nne.
Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya wahusika wakuu katika zoezi hilo.
Wasimamizi hao walipewa kiasi cha pesa kulingana na siku...
Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi mtihani kutoka Njano kuwa Nyeupe.
Licha ya Takwimu za Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha 4 zilizotolewa na Baraza la Mitihani la Tanzania kuonesha Watahiniwa 484,823 (87.65%) wamefaulu Mtihani huo, Watahiniwa 56,149 (10.64%) wamefeli kwa kupata Daraja 0.
Pia, Jumla ya Watahiniwa 274,001 (51.94%) wamepata Daraja la 4 ikiwa ni...
Hii ni list ya shule zilizoshika mkia kwenye matokeo ya kidato cha nne mwaka 2022.
Ukiangalia vizuri kuna kitu kiko very common😃
List imetawaliwa na #TeamMnyaazi
Source: Malisa GJ instagram account
Jumla ya Wanafunzi waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha 4 mwaka 2022 walikuwa 534,753 lakini waliofanya Mtihani huo ni 522,217 ambapo Wasichana walikuwa 280,251 na Wavulana 241,966. Tafsiri ya haraka ni kuwa zaidi ya wanafunzi 12,000 hawakufanya Mtihani wa kumaliza Kidato cha 4.
Kiwango...
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne yaliyofanyika Novemba 14 hadi Desemba 1, 2022, Tanzania Bara na Visiwani.
Matokeo hayo yametangazwa leo Jumapili, Januari 29, 2023, makao makuu ya Necta jijini Dar es Salaam na Kaimu Katibu Mtendaji wa...
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), limesema jumla ya watahiniwa 566, 840 wanatarajiwa kufanya mtihani wa kidato cha nne, utakaoanza kesho Jumatatu katika shule za Tanzania Bara na Zanzibar.
Limesema kati yao watahiniwa 533,001 ni shule na 31, 839 wa kujitegemea. Kati ya hao watahiniwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.