kidato cha 6

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Ratiba ya mitihani kidato cha 6 2024/2025. Mitihani kuanza May 5, 2025

    Wakuu, Ni rasmi sasa imebaki miezi 4 mpaka wanafunzi wa kidato cha 6 kuanza mitihani yao ya mwisho ya NECTA. Kulingana na ratiba hii, mitihani hii itaanza Mei 5, 2025 na itaisha Mei 25, 2025
  2. I

    UTV:MAANDAMANO SIMIYU, MHITIMU KIDATO CHA 6 AUAWA RAMAD BUSEGA SIMIYU AUA

    Katika Hali inayojulikana kama maandamano ya kupinga watoto kupotea katika nchi yetu, Kwa Mujibu wa UTV, KUNA kijana ameuwawa Kwa kupigwa rasasi na polisi hapo Jana tarehe 21/08/2024
  3. Black Butterfly

    Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  4. godlisten godlove

    Ukihitimu kidato cha sita tahasusi ya CBG unaweza kukubaliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi?

    Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
Back
Top Bottom