kidato cha kwanza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Somo la Business Studies litakuwa la lazima kwanzia kidato Cha kwanza hadi Cha nne

    Taarifa kutoka NECTA
  2. Rais Samia: Ujasiriamali kuwa somo la lazima kwa Sekondari kidato cha kwanza hadi nne. Ili kuandaa vijana kujitegemea

    Rais Samia amesema kuwa Ujasiriamali litakuwa somo la lazima kwa wanafunzi wa sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwaandaa kujitegemea. Akisisitiza kuwa mabadiliko haya ni sehemu ya mkakati wa serikali wa kuleta mageuzi katika sekta ya elimu ili iendane na mahitaji halisi ya...
  3. A

    KERO Mtaala mpya wa Kidato cha Kwanza 2025, masomo yanahimiza ICT lakini shule nyingi hakuna ICT ROOM na Watoto hawana msingi

    Serikali ina haja ya kutazama mpya juu ya suala la mtaala ulioboreshwa wa kidato cha kwanza 2025, kwa hakika mtaala huo haukidhi vigezo kwa mtoto wa kidato husika kwa sababu baadhi ya mada mfano Baiolojia alikuwa anajifunza kidato cha pili hadi cha nne lakini zimerudishwa form one. Masomo mengi...
  4. Mwanafunzi wa shule za kata aliyeingia kwa wastani wa "C" kidato cha kwanza anaweza kuhamishiwa shule za bweni kitaifa?

    Kuna watu wanajeuri sijui ya fedha? Mtoto wake mwaka jana alifaulu kwa wastani wa "C" kapelekwa shule ya kata kama wanafunzi wengine wote. Pamoja na kwamba hizi shule za kata kuna wanafunzi waliingia kwa wastani wa "A". Sasa huyu jamaa anamuhamishia kidato cha pili shule za bweni kitaifa...
  5. D

    Kesho ndo utekelezaji wa mtaala mpya kwa kidato Cha kwanza unaanza: vitabu havijafika mashuleni, mafunzo kwa walimu yametolewa wakati likizo na Bure..

    Zilipita wiki 2 Hadi 3 ndipo yakatangazwa mafunzo ya walimu kwa ajili ya kuuanza mtaala mpya! Walimu wengi hawakuhudhuria sababu walikuwa likizo (waliyoipata kisheria kabisa kwenye ess). Waliohudhuria, walilazimika kugharamika kidogo kinauli pamoja na muda wao wa kupumzika. Mafunzo yalikuwa...
  6. M

    TAMISEMI rekebisheni madudu haya mliyofanya kwenye selection za wanafunzi wa kidato cha Kwanza 2025

    Kwa faida ya wengi na kuondoa sintofahamu kwa wasiofahamu, Ofisi ya Rais TAMISEMI fanyeni marekebisho ya machaguo ya wanafunzi kwenye eneo la Wilaya Shule ilipo. Miaka ya nyuma hili kosa halikuwahi kujitokeza bali lilianza kuonekana kwenye selection za mwaka 2023 na mwaka huu. Nipo tayari...
  7. Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha?

    Ana miaka 14, ni lazima Kidato cha Kwanza au QT inatosha? Naomba mawazo yenu.
  8. Waziri Mchengerwa ametangaza Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Kwanza 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Obto7X40W6I Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Wanafunzi 974,332 waliohitimu Elimu ya msingi mwaka 2024 tayari wamepangiwa Shule za sekondari ambao wataanza Januari 2025. Waziri Mchengerwa ametangaza matokeo hayo mbele...
  9. Kupangiwa shule wanafunzi wanaotarajia kuanza kidato cha kwanza itatoka lini?

    Hivi waziri mwenye dhamani mbona hatoi selection za watoto wetu waliomaliza la saba 2024 wanaenda shule zipi kidato cha kwanza 2025,?
  10. Orodha ya waliochaguliwa kidato cha kwanza 2025 inatoka lini?

    Mbona kama selection ya form one 2025 imechelewa kiasi hiki? Tatizo nini? Leo tarehe 3 December bado kimya na mwezi ujao ndo January!
  11. Watoto wa kidato cha kwanza wanacheza mchezo wa upatu, Taifa linaelekea wapi?

    Habari! Mama mmoja aliniambia kuwa amepigiwa simu akiambiwa mtoto wake binti wa kidato cha kwanza anadaiwa pesa na wanafunzi wenzako shule ambayo kahama. Mama alihama kutoka Wilaya ya TEMEKE na sasa yuko wilaya ya Ilala na binti alipatiwa uhamisho. Zamu yake ya kuchukua pesa ilishapita na...
  12. Mwanafunzi kidato cha kwanza ajiua kwa kujichoma kisu Tunduma

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza shule ya Sekondari Mpakani Ufunuo Mwamlima (13) mkazi wa mtaa wa Chapwa A Halmshauri ya mji wa Tunduma mkoani Songwe amejichoma kisu cha tumboni hadi kufa baada ya wazazi wake kumhoji juu ya mwenendo wa tabia zake ambazo zimeonesha kutokuwaridhisha wazazi. Kijana...
  13. Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

    Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
  14. Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza afariki kwa kujinyonga baada ya kunyang’anywa simu na kaka yake

    Mwanafunzi wa Kidato cha Kwanza aliyekuwa anasoma Shule ya Sekondari Sarungi, Wilayani Rorya amejinyonga kwa kamba ya katani chumbani kwake kwake baada ya kudaiwa kutokea mzozo na kaka yake Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Tarime, Mark Njera amesema “Binti huyo mwenye...
  15. Nahitaji notice za sekondari kidato cha kwanza hadi cha nne

    Wadau wapi naweza kupata notice za sekondari kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne kulingana na mtahala (syllabus) za wizara ya elimu Tanzania. Wapi naweza kuzipakua (download) kwa ajili ya vijana wetu? Wengi wetu tunaweza kuwa na changamoto ya hili jambo maana unaweza ukawa na kijana akataka...
  16. N

    Ukosefu wa ajira unavyodunisha uripoti wa wanafunzi wa kidato cha kwanza miaka hii

    Mzazi ana watoto wawili aliowasomesha kwa tabu hadi chuo kikuu lakini wote wako nyumbani na hakuna mwenye ajira hata mmoja. Leo mzazi huyu kumpeleka mtoto sekondari tena anaona ni kumtania kabisaaa. Hiyo ndo sababu ya uripoti duni wa wanafunzi wa kidato cha kwanza; 2023 ulikuwa mkubwa lakini...
  17. Kidato cha Kwanza 2024 Kuanza Kusoma Mtaala Mpya

    Utekelezaji wa Mtaala mpya kuanza Januari 2024 Mnamo tarehe 02 Novemba 2023, Mhe. Kasim Majaliwa Majaliwa(Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitoa taarifa rasmi juu ya kuidhinishwa kwa Sera ya Elimu na Mafunzo 2014, Toleo la 2023 na Mitaala ya Elimu Ngazi ya Elimu ya Awali...
  18. Idadi ya Wanafunzi waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza Januari 2024 yaongezeka kwa 1.57% ikilinganishwa na Mwaka 2023

    Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Baraza la Mitihani la Tanzania zimekamilisha zoezi la uchaguzi wa wanafunzi wa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2024. Uchaguzi ulihusisha wanafunzi 1,092,984 wakiwemo Wasichana 507,933 na Wavulana 585, 051...
  19. Mwl. Wema akamatwe kwa kumpoteza Mwanafunzi Warda Mohamed

    Wadau, nimesikiliza na kufuatilia swala la kupotea binti Warda Mohamed mwanafunzi wa kidato cha kwanza huko kibaha, hakika inasikitisha jinsi Mamlaka husika yaani polisi na oficin ya mkuu wa wilaya Nick wa pili jinsi ambavyo wamelikalia kimya swala la huyu binti aliepotea tangu Mwezi wa nne...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…