kidedea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Mwishooni kabisa mwa hizi sarakasi za Siasa CCM ya Mzee Kikwete, Kinana, Makamba, Nape itaibuka kidedea na washindi

    Kwa yoyote alobarikiwa kua na Uwezo wa kukisia mambo Fulani Fulani ya nyakati zijazo. Kuna Makosa yalifanyika 2015-2020 , Ufalme akaanguka, Licha ya Ufalme kufanya mambo makubwa yaliyoonekana. Makosa yaleyale yanajirudia 2022-2025, safari hii yanajirudia kukiwa na mambo yanayopigiwa kelele...
  2. Mpina agonga mwamba Mahakama kuu Kesi ya Spika/ Mapingamizi ya Serikali yakubalika kwa Jaji

    Wakili Makore ambaye ni miongoni mwa Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina waliokuwa mstari wa mbele kumsimamia kwenye kesi aliyokuwa ameifungua Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania ,Waziri wa Kilimo na Mwanasheria Mkuu wa...
  3. Vijana wa Kitanzania waibuka kidedea Mashindano ya TEHAMA Nchini China

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China. Vijana hao wenye ujuzi...
  4. Karamagi ashinda Uenyekiti wa CCM Kagera

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya kupata asilimia 58 ya kura zote zilizopigwa Karamagi amemshinda mwenyekiti anayemaliza muda wake...
  5. S

    CHADEMA kidedea 2025, mambo haya wayape kipaumbele

    Sina wasi kabisa 2025 CCM inawekwa benchi. Sasa Chadema tunahitaji mambo haya yawe ya mwanzo. 1) Kushusha bei ya umeme kiasi ya kila nyumba kuweza kutumia air condition maana sasa joto halivumiliki. Amuzi Hili liwemo ndani ya wiki ya mwanzo ya Rais wa Chadema 2) Shirika la ndege kuanzisha...
  6. Nani kati ya Marais wa Tanzania angeibuka kidedea/mshindi kwa vigezo hivi?

    Tanzania ni moja Kati ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeshafanikiwa kuwa na awamu tofauti tofauti za uongozi wa ngazi ya juu kabisa(URAISI) na ni miongoni mwa nchi chache kabisa ambazo hazijawahi kuwa na matukio makubwa yaumwagaji damu, vita vya wenyewe kwa wenyew na mapinduzi ya kijeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…