kidijitali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chizcom

    Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  2. B

    Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali na Ushirikishwaji wa Kifedha

    Mkuu wa Idara ya Wateja Wadogo na Kati wa Benki ya Exim, Bw. Andrew Lyimo (katikati) akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi rasmi wa huduma mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo linarahisisha miamala kwa biashara na watu binafsi...
  3. B

    Vodacom, ZICTIA Zaungana Kukuza Matumizi ya Kidijitali Zanzibar Kupitia Nyaya za Chini ya Bahari

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Zanzibar (ZICTIA), Shukuru Awadhi Suleiman (kushoto) na Mkurugenzi wa Mtandao wa Vodacom Tanzania Plc Andrew Lupembe, aliyemwakilisha Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania, wakisaini nyaraka za makubaliano ya ushirikiano lenye lengo la kuboresha huduma...
  4. Pfizer

    TCB Yaadhimisha Miaka 100 kwa Kuwekeza Katika Uvumbuzi wa Kidijitali

    Benki ya Biashara Tanzania (TCB) imeadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake kwa kuahidi kuendelea kuwekeza katika uvumbuzi wa kidijitali na kuongeza ubora wa huduma kwa wateja wake na kuwa wanayo dhamira ya kuimarisha nafasi ya TCB katika sekta ya kibenki nchini. Akizungumza kwa niaba ya...
  5. M

    PSSSF yazindua Baraza la Wafanyakazi Kidijitali Lengo ni kupunguza gharama

    Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) umezindua Baraza la Wafanyakazi linaloendeshwa kidijitali kwa lengo la kupunguza gharama za uendeshaji na kusaidia jitihada za kulinda mazingira. Uzinduzi huo uliofanyika jana Februari 06, 2025 Mkoani Singida, uliongozwa na Mwenyekiti wa...
  6. figganigga

    Tech & media convergency (TMC) yashirikiana na Ubalozi wa Marekani dar, katika kutekeleza mradi wa kuimarisha ushirikiano katika ajenda ya kidijitali

    Dar es Salaam, 16 Januari, 2025 - Tech & Media Convergency (TMC) Inapenda kuwatangazia ushirikiano wake na Idara ya Serikali ya Marekani (Ubalozi wa Marekani, Dar es Salaam) katika kuzindua Mradi wa kimapinduzi ya Tanzania Digital Collaboration." Programu hii ya kibunifu unalenga kuimarisha...
  7. Roving Journalist

    Waziri Silaa: Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine kukuza Uchumi wa Kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na nchi nyingine duniani katika kukuza uchumi wa kidijitali kutokana na uwekezaji mkubwa uliofanywa katika sekta ya TEHAMA. Waziri Silaa aliyasema hayo wakati akifungua kikao...
  8. M

    Mahakama na uboreshaji huduma kidijitali

    Wakuu habari, leo nimeona nitoe pongezi kwa Mhimili wetu wa Mahakama kwa kuboresha huduma za usikilizaji na umalizaji wa kesi kwa wakati. Kwa kweli hili suala la mtu yupo Dar anaweza kufungua kesi Mwanza na ikafunguliwa na kupangiwa tarehe au kusikilizwa kwa video limenikosha sana...
  9. kingkongtz

    Nawezaje kujiondoa kwenye huduma hii ili nisiendelee kukatwa pesa zangu?

    Wakuu kwema, nilikuwa naumwa yapata wiki sasa npo ndani. Sasa wakati sijiwezi kitandani kuna documents ilitakiwa nizitume sehemu nikampa wife simu anisaidie kutuma na akafanya hivyo na kule zilipoenda nikaambiwa zimefika. Sasa katika kipindi cha wiki wifey amekuwa akichukia simu yangu na...
  10. Roving Journalist

    Asasi za Kiraia waiomba Serikali kuwawezesha wenye ulemavu Kidijitali

    Asasi za Kiraia nchini kupitia Shirika la The Foundation for Civil Society (FCS), imeiomba Serikali iangazie katika kuhakikisha makundi maalum yanawezeshwa kufikia miundombinu ya kidigitali ili waweze kushiriki katika michakato ya maendeleo na kujiimarisha kiuchumi. Hayo yamesemwa na Meneja...
  11. Roving Journalist

    Waziri Nape: Minara inajengwa kuwaunganisha watu vijijini na Dunia ya kidijitali

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Moses Nnauye (Mb) amesema lengo la Serikali kutoa ruzuku ya ujenzi wa minara ya mawasiliano vijijini ni kuwaunganisha na kuwasogeza Watanzania na Dunia ya Kidigitali ili wasiachwe nyuma na huduma nyingi, alizosema, zitaendeshwa...
  12. B

    "Tutatumia maonesho ya 48 ya sabasaba kuvutia wawekezaji kidijitali" - TTCL

    Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limesema limejipanga kuendana na kauli mbiu ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya "Tanzania ni mahali sahihi pa Biashara na Uwekezaji kwa kufungua milango ya kidigitali kwa wawekezaji na Wafanyabiashara ili waweze kufanya kazi zao kwa ufanisi Zaidi...
  13. Roving Journalist

    Pre GE2025 Mchengerwa: Wakuu wa Mikoa wote simamieni mfumo wa Kidijitali wa kuwatambua Madereva Bodaboda na Bajaji

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhakikisha wanajenga vituo vya bodaboda vya kupaki pikipiki vyenye uwezo wa kuzuia jua na kuwakinga na mvua wanaposubiri wateja. Mhe. Mchengerwa ametoa...
  14. E

    SoC04 Kilimo cha Kidijitali

    KILIMO CHA KIDIJITALI: Tanzania, kama nchi nyingine za Kiafrika, inakabiliwa na changamoto za kuleta maendeleo endelevu katika miaka ijayo. Mojawapo ya njia za kufanikisha hili ni kwa kuwekeza katika kilimo cha kidijitali. Katika andiko hili, tutachunguza jinsi kilimo cha kidijitali kinavyoweza...
  15. U

    SoC04 Utalii kukua kidijitali

    Utalii ni Neno Pana na lenye manufaa makubwa kwenye uchumi wa taifa letu la Tanzania. Uchumi wa nchi yetu ya Tanzania unategemea rasilimali mbalimbali ikiwemo rasilimali inayohusisha vivutio vya utalii na utalii wenyewe. Kutokana na umhimu wake kwenye pato la taifa utalii hutakiwa kutangazwa...
  16. Novart moses

    SoC04 Mitandao ya simu kuimarisha ulinzi dhidi ya jumbe na simu za kitapeli

    Katika miaka ya hivi karibuni, kuongezeka kwa matumizi ya simu za mkononi kumeleta mabadiliko makubwa katika mawasiliano nchini Tanzania. Simu za mkononi zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku ya Watanzania wengi, zikichochea maendeleo katika sekta mbalimbali kama vile biashara, elimu...
  17. S

    SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  18. Last_Born

    SoC04 Teknolojia na Ubunifu: Kuongoza Mabadiliko kuelekea Tanzania ya Kidijitali

    Teknolojia ina jukumu muhimu katika kuendesha maendeleo ya kisasa na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Kuelekea miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inapaswa kulenga katika kukuza matumizi ya teknolojia na kukuza ubunifu kwa lengo la kujenga uchumi wa kidijitali na jamii inayotumia teknolojia...
  19. The Sheriff

    Ripoti: Sheria za Ulinzi wa Data katika nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) ni ushindi mkubwa kwa Haki za Kidijitali

    Ripoti kuhusu hali ya haki za kidijitali Kusini mwa Afrika imepongeza juhudi za nchi za ukanda huo kuweka sheria za ulinzi wa data kama moja ya njia za kuboresha haki za kidijitali miongoni mwa wananchi. Ripoti hiyo yenye kichwa “Kulinda Haki za Kidijitali Kusini mwa Afrika: Wito wa Hatua kwa...
  20. B

    SoC04 Nafasi ya ujuzi wa kidijitali katika kuziba pengo la ajira nchini Tanzania

    Nafasi Ya Ujuzi Wa Kidijitali Katika Kuziba Pengo La Ajira Nchini Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeshuhudia ukuaji wa ajabu katika uchumi wake wa kidijitali, na hivyo kusukuma mahitaji ya wafanyakazi wenye ujuzi katika viwango vya juu visivyo na kifani. Hata hivyo, mwelekeo...
Back
Top Bottom