Kwa ufupi mno
Unajua mtu unaenda ofisi fulani na anayehusika kutoa huduma hapo ni dini fulani, basi akishaona tu jina lako haliendani na dini yake, utazungushwa kupata huduma hadi ukereke.
Na hii dini inafahamika fika kabisa, ni wabaguzi mno. Sijui huko kwenye nyumba za ibada huwa...