Inakuwaje wanajamvi!
Kidukulilo ni Billionea mshamba sana. Licha ya kuwa na hela lukuki na za kumwaga bado tu mshamba. Kwake magari kama Jeep ndio fahari kwake. Sijui ni kutokujuwa ama exposure.
Jamaa anatakiwa kununua na kumiliki haya magari si jeep.
Anatakiwa kumiliki Laferrari Aperta...
Nimekuwa nikipokea malalamiko sana kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wakisema kuna watu wamekuwa wakiomba Funds kwa ajili ya Taasisi zao kwa kutumia jina langu la Kiduku Lilo.
Kwanza watu wangu walikuwa wanashangaa kuwa nini kimetokea mpaka naomba nichangiwe Usd 50,000 eti za kusaidia watu...
Leo nimejikuta nimefululiza kusoma nyuzi tatu za Kiduku Lilo imekuwa ni bonge la kiburudisho kwa jinsi alivyojaliwa kipaji cha uandishi.
Je, alikerwa na nini hadi akaodoka.
Aisee salaam,
Habari za Jumapili wadau. Niende straight to the point. Mbeya baridi ni kali kweli kweli. Nipo hapa maeneo ya juu kidogo hivyo ninaipata baridi kinyama. No wonder Mbeya na Njombe wana watu wengi walioathirika.