Nodding disease is a disease which emerged in Sudan in the 1960s. It is a mentally and physically disabling disease that only affects children, typically between the ages of 5 and 15. It is currently restricted to small regions in South Sudan, Tanzania, and northern Uganda. Prior to the South Sudan outbreaks and subsequent limited spread, the disease was first described in 1962 existing in secluded mountainous regions of Tanzania, although the connection between that disease and nodding syndrome was only made recently.
JUMUIYA ya Wazazi na Watu wanaoishi na hali ya kifafa (UWAKITA),imezindua rasmi kampeni za kuhamasisha uelewa juu ya maradhi ya kifafa, yenye kauli mbiu: "Elimika juu ya kifafa,tokomeza unyanyapaa, pata tiba sahihi."
Tukio hilo limefanyika mapema 9 Mei ,2024 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili...
Kifafa ni hali ya mshtuko wa ghafla au matokeo yasiyo ya kawaida katika Ubongo wa Binadamu ambayo inaweza kusababisha Mtu kuzimia, kukamaa kwa misuli na mabadiliko ya hisia au fahamu
Hali hii inaweza kuathiri Watu kwa njia tofauti kutegemea na eneo la Ubongo linaloathiriwa.
Kufahamu zaidi...
Kuna maradhi Degedege na Kifafa, huwa yanawaingiza Watoto na watu wazima katika hatari, yakionekana kwa sura tofauti, kulingana na hali ya mgonjwa.
Kuna kundi la wanajamii wanaunganisha na ushirikina. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto Hospitali ya Rufani Mkoa Temeke, Salha Ally, anataja...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeeleza mpango wake wa kuanza kutibu maradhi ya Kifafa kwa kutumia vifaa (Mashine) maalumu ya Upasuaji wa Ubongo na Uti mgongo kwa muda mfupi.
Dkt. Lemeri Mchome ambaye ni Daktari Bingwa wa Upasuaji kutoka MOI amesema kutokana na Mashine hizo...
Na uzuri ni kwamba sayansi imekuwa kwa sasa, tunaweza kupima dna kujua kama watoto ni wetu lakini pia tunaweza kupima dna kutambua kama tumebeba genes zenye magonjwa ya kurithi kama vile ualbino, uziwi, ububu, ulemavu wa akili, n.k.
Mangonjwa yanayoweza kurithika hutokea pale ambapo watu wawili...
nina mtoto wangu ambaye anasumbuliwa na kifafa kila apatapo hom kali au sometime homa ya kawaida tu.
ilianza akiwa na miaka miwili. alivyofika miaka minne hali ni kama ilizidi kidogo. nilifanikiwa kuonana na daktari bingwa wa watoto ambaye alinishauri nianze kumpa dawa ya SODIUM VALPROATE mg...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 1986 nikiwa na ufahamu na akili timamu, sikuwa naelewa kifafa ninini ila nilikuwa na maswali mengi sana Kila nikimtazama mama yangu mzazi ambaye asilimia kubwa mwili wake ulitawaliwa na vidonda. Nakumbuka Kuna wakati tukiwa kisimani mama alitumbukia kisimani si mara Moja...
Walaji wa nyama ya nguruwe nchini wako hatarini kupata magonjwa mbalimbali kikiwamo kifafa kutokana na maandalizi duni ya kitoweo hicho maeneo ya baa na nyama hiyo kutokaguliwa na wataalamu.
Pia, kukosekana kwa machinjio za nguruwe za kutosha ni changamoto nyingine inayosababisha watu kuchinja...
AJALI za bodaboda zinachangia ugonjwa wa kifafa kwa waathirika wa ajali hizo kutokana na majeraha kwenye kichwa ambayo yanaathiri ubongo, imeelezwa.
Hayo yamebainishwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Mfumo wa Fahamu na Ubongo kwa watoto, Dk Edward Kija wakati akizungumza katika kipindi cha...
Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya.
Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri.
Kazi kwenu...
Matusi hayatakiwi. Naomba ukielewa toa mtazamo wako kwa hoja kama jamaa huyuJihad, alivyoelewa na kubaki anashangaa!.
NIkweli wafuasi wa huyu, bwana walikuwa hawahoji mambo katika mambo haya, kwa kuwa hawakuwa na ufahamu? waliogopa kuuawa, waliona yanawarahisishia maisha, walijua agenda za...
Kifafa ni nini?
Kifafa ni ugonjwa wa ubongo.
Ubongo wa binadamu una mabilioni ya seli za neva. Zinashirikiana na kila moja kupitia chaji ndogo ndogo za umeme ambazo huwaka na kuzima.Wakati baadhi ya ama hizi seli zote kwa ghafla huanza kuwaka kwa pamoja, wimbi la nguvu za umeme hupita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.