kifahari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ofisi ya CHADEMA Mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwanini wanaranda randa katika kumbi za hoteli za kifahari, wakati wanasema hawana hela?ufisadi?

    Ofisi ya chadema makao makuu mikocheni ina ukumbi mkubwa sana, kwa nini wasifanyie vikao hapo? Wanaenda kukodi kumbi za makumi ya mamilioni wakati wanalia chama hakina hela? Chama kinafanyia maamuzi hotelini? Wanapishana na watu wametoka kuzini au wana mataulo walikuwa wanaoga? Chadema, tumieni...
  2. Diamond asafirisha magari yake ya kifahari Rolls-Royce, Escalade Zanzibar kwa matumizi ya Tuzo za Trace. Harmonize adata na showbiz za Diamond

    Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amesafirisha magari yake ya kifahari aina ya Rolls-Royce na Cadillac Escalade hadi Zanzibar. Magari hayo yanatarajiwa kutumika katika msimu huu wa Tuzo za Trace, zinazofanyika leo, Februari 26. Harmonize adata na showbiz kutoka kwa Kaka yake na...
  3. Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  4. Diamond Platnumz kulipwa BIL 2.3 kutumbuiza katika harusi ya kifahari Mombasa Kenya

    Habari wakuu. Kweli kuna watu wanakula mema ya nchi. Katika harusi iliyofanyika leo jijini Mombasa, Diamond Platnumz amelipwa Bil 2.3 kwaajili tu ya kuperform kwenye harusi hiyo. Kwa wale wenye source naomba wanijulishe hii ilikuwa ni harusi ya nani kwakuwa hadi Rais wa Kenya William Ruto...
  5. Jumba la kifahari la tajiri bilionea wa kihindi Mukesh Ambani

    Lina ghorofa 7 tu,eti na ndio makazi gharama zaidi duniani
  6. King daz, kijana alieonesha jumba lake la kifahari mtandaoni, source ya pesa zake ni nini haswa?

    Habarini Huyu jamaa nasikia anamiliki king d auto spares, huenda labda anamiliki king d hotel ya sinza Hizi pesa nyingi watu wanazipataje wakuu.🤔mtu mwenyewe haendani na pesa anazomiliki, mtu amevaa suti ila suruali amepiga mlege😁 Lugumi muonekano wake unaendana na pesa anazomiliki ila sio...
  7. Lissu ametoa wapi mamia ya mamilioni kugharamia mkutano wake uliofanyika katika ukumbi wa kifahari wa Mlimani City?

    Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye hoteli zenye fahari kuu jijini Dar es salaam?
  8. Tunatumbukiza Mamilioni Kwenye Harusi, Lakini tunashindwa changia matibabu ya wagonjwa na tunashindwa kujichanga kwa shughuli za maendeleo ya pamoja

    Nimekuwa nikifuatilia kwa makini jinsi desturi ya kuchangia na kufanya sherehe kubwa, hususan harusi, inavyozidi kushika kasi hapa nchini. Kinachoshangaza zaidi ni kwamba ule wigo wa kuomba michango sasa umepanuka kiasi cha kutisha. Leo hii, mtu ambaye jina lako halijui vizuri anaweza kukuomba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…