kifalme

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. idoyo

    Napendekeza Tanzania iwe nchi ya kifalme. Tuanze na Malkia Samia

    Halafu Abdul aoe binti wa kisukuma kudumisha muungano.
  2. Last_Joker

    Mambo ya ‘Soft Life’: Ni Lazima Kila Mtu Aishi Maisha ya Kifalme?

    Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila chakula kwenye migahawa ya kiwango cha juu, na safari za anasa ni sehemu ya ratiba yao. Lakini swali ni...
  3. USSR

    Parade la kifalme london: hakuna askri mwenye kitambi kama makomandoo wa tanzania

    Ni sherehe ya siku ya kuzaliwa mfalme wa UK na parade linaongozwa na askari wa uskochi wote wako poa sioni vilibatumbo wala kitambo mbonyea kama wale jamaa USSR
  4. Roving Journalist

    Ziara ya Rais Samia Nchini Norway baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, Februari 13, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mfalme Harald V wa Norway mara baada ya kuwasili katika Kasri la Kifalme Jijini Oslo, tarehe 13 Februari, 2024. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi...
  5. dalalitz

    Kukumbatia na kuenzi dhana ya utawala wa kifalme kumepitwa na wakati, Waingereza na wengine wamerogwa na nani?

    Kuna huu Uongozi wa Kifalme, Inasemekana hata Afrika zilikuwepo Tawala lukuki zilizokuwa na nguvu za Himaya za Kifalme na kwingineko Ulimwenguni pia. Kwa Afrika, Tawala za Kifalme ingawa unaaminika kuwa zilikuwa nzuri zikiishi kwa Utulivu na amani zilikuja kuvurugwa na kutokomezwa na...
  6. J

    RC Sendiga, azindua kampeni "Mpe maua, atabasamu asome kifalme

    John Walter-Manyara Kampeni Mpe Maua atabasamu asome kifalme imezinduliwa wilayani Simanjiro mkoani Manyara. Kampeni hiyo inalenga kuboresha sekta ya Elimu mkoani humo ikiwa ni adhma ya serikali ya awamu ya sita kila mtoto apate elimu ambapo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ameelekeza elimu ya...
  7. Kichuguu

    Harusi ya Kifalme

    Iko hapa https://www.youtube.com/watch?v=l6olWYOBD9U
  8. M

    Waislamu wana mpango wa kususa kwenda Hija kuikomoa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia

    Mzuka Wanajamvi. Katika mitandao ya kijamii hasa tiktok kuna mjadala mpana wa waislam wakijadialiana kutaka na kuhimizana kususa kwenda hija kuwakomesha watawala wa kifalme Saudi Arabia hasa MBS. Wanadai hela wanayopata kupitia hija ni nyingi sana hadi inawapa kiburi na kukufuru hadi kupelekea...
  9. mwanamwana

    KWELI Pamoja na Ulinzi mkali jumba la kifalme Uingereza, kuna mwamba alipenya mpaka chumbani kwa Malkia Elizabeth

    Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
  10. matunduizi

    Tusijisahaulishe, masikini ni matokeo ya dhambi. Kabla ya hapo Mungu alipanga tuishi kifalme

    Hii ni kweli. Mungu ni Tajiri mkubwa anayemiliki vyote. Na sisi ni watoto wake, na sifa ya mtoto ni kurithi vya baba. Hivyo kila anachomiliki Mungu ni cha kwetu. Kabla ya udanganyifu wa Adam na Eva kula tunda tulikusudiwa binadamu wote kuwa matajiri sana na kuishi kifalme. Tukio la kuacha...
  11. Songambele

    Maziko ya Kifalme na faragha - Kinafanyika nini?

    Alipofariki Nelson Mandera dunia nzima ilenda live kwa kipindi chote cha msiba na maombolezo, ilipofikia mwili kuwekwa katika nyumba ya milele kamera zilizimwa na tukaambia ni ndugu wa karibu tu ndio watakaoshiriki zoezi zima la kuzika. Jana tena wakati Malkia anazikwa pamoja dunia kushiriki...
  12. Championship

    Uingereza haina utawala wa kifalme, kinachoendelea pale ni kiini macho

    Sifa za mtu anayetambulika kama mfalme: 1. Awe anamiliki ardhi yote anayotawala. 2. Awe na amri juu ya watu wote wa eneo lake kila wakati 3. Awe anamiliki mali zote katika eneo lake na kwamba kila raia awe anafanya kazi kwa ajili ya mfalme 4. Tamko la mfalme linakuwa sheria ambayo inatekelezwa...
  13. Swahili AI

    Familia ya Kifalme wa Uingereza; Ni nani wana familia ya kifalme?

    Nyumba ya Windsor kama tunavyoijua leo ilianza mnamo 1917 wakati familia hiyo ilipobadilisha jina lake kutoka kwa Kijerumani "Saxe-Coburg-Gotha." Babu wa Malkia Elizabeth, Mfalme George V, alikuwa mfalme wa kwanza wa Windsor, na wafalme wanaofanya kazi leo ni wazao wa Mfalme George na mkewe...
Back
Top Bottom