Siku hizi, kuna kitu kinachoitwa “soft life” – maisha ya raha, bila presha, na kila kitu ni utulivu. Mitandaoni, watu wanajipiga picha kwenye hoteli za kifahari, wanavaa nguo za bei, wakila chakula kwenye migahawa ya kiwango cha juu, na safari za anasa ni sehemu ya ratiba yao. Lakini swali ni...