kifaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. luangalila

    Msaada Lugha ya Kifaransa

    Wadau Kwema Naomba kuuuliza ni wapi wanatoa mafunzo ya lugha ya kifaransa ndani ya Jiji la Dar es Salaam
  2. Waufukweni

    Katibu NECTA, Dkt Said: Tutaongeza somo la Lugha ya Kiarabu na Kifaransa

    Wakuu Kwanini sio Kichina, ambako tumeona kuna fursa nyingi kwasasa? == Dkt Said Mohamed Katibu Baraza la mitihani NECTA "Jambo jingine tutapima masomo saba badala ya sita kama ilivyokuwa awali na hii tunaongeza masomo ya kigeni ikiwa ni Arabic na lugha ya Kifaransa na mwanafunzi akifika...
  3. Waufukweni

    LGE2024 Mbunge Byabato atumia salamu za Kichina, Kijerumani, Kifaransa, Kiingereza, Kiswahili na Kihaya kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mbunge wa Bukoba mjini Stephen Byabato ametumia lugha za kichina, kijerumani, kifaransa, kiingereza, kiswahili na kihaya kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa mbele ya katibu wa Jumuiya ya Wazazi Ally Hapi.
  4. Allen Kilewella

    Watu wa Mpira Bongo jifunzeni Kifaransa. Mtaendelea kuaibika mpaka lini?

    Kama timu za Tanzania zitaendelea kuchukua makocha na wachezaji toka nchi zinazozungumza kifaransa, basi kuijua lugha ya kifaransa ni muhimu na lazima. Wachezaji wetu wa ndani,wachambuzi wa Mpira, waandishi wa habari na makocha wetu, lazima wajue pamoja na kuujua Mpira, lakini mafanikio ya...
  5. R

    Burkina Faso yafuta Kifaransa kama lugha yao ya Taifa, yabakia kuwa Lugha ya Kazi

    Burkina Faso ikiwa chini ya Ibrahim Traoré kwa mpito umepitisha muswada wa marekebisho ya Katiba na hivyo kutangaza lugha zao za ndani kuwa lugha rasmi badala ya Kifaransa ambayo sasa imeshushwa hadhi kuwa "Lugha ya kazi". "Katika rasimu hii, lazima tukumbuke kuwa lugha za kitaifa zimeainishwa...
  6. Chachu Ombara

    Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  7. K

    Naomba kujua kituo cha kufundisha Kifaransa

    Naomba kujuzwa kituo kizuri kinachofundisha lugha ya Kifaransa hasa mida ya jioni. Nitafurahi nikijuza na gharama zake kwa kila hatua. Asanteni
Back
Top Bottom