kifikra

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume wengi ni Misukule ya Wanawake. Wana utumwa wa kifikra.

    Hamjamboni! Kuna Misukule ya aina nyingi. 1. Kuna Misukule ya Imani Hii ni Misukule ambayo waumini hutafuta pesa kwa Hali na Mali. Kwa jasho na damu na kwenda kupeleka Mali hizo kwa Mitume na Manabii WA mchongo. Wengine hupeleka kwa Waganga. Ukitaka ujue mtu ni Msukule utampima kwenye Mzani...
  2. robbyr

    Watumiaji wa mtandao wa X wamefilisika kifikra au?

    Picha: Pinterest Mimi nimeanza kutumia X kwa sasa toka 2017. Niliheshimu mtando huu sana kwa habari nzuri na kwa ufupi kutokwa kwa watu mbalimbali. Leo hii unaingia X unakuta ndio watu wanaongoza kwa kusambaza video za ngono pamoja na kudhalilisha watu na mwisho naweza sema Facebook ni mtandao...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Mtu aliyesoma akaelimika akakombolewa kifikra hawezi Kutoa au kutolewa Mahari

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Elimu Kazi yake kûbwa ni kumkomboa Mtu ndiye Mwanamke na Mwanaume kifikra. Haiwezeniki Mtu kafika chuo Kikuu, amesoma degree au katika chuo cha Kati akasoma stashahada akaibusti Akili Yake Akaelimika alafu Wakati wa kuchumbia au Kuoa au kuolewa akakubali Kutoa...
  4. Eli Cohen

    Mimi sio motivatonal speaker ila nina uhakika zifuatazo ndizo sababu kuu za sisi Waafrika kuwa na maendeleo duni ya kifikra na mali.

    Kuna wakati nilihisi tumelaanika, kuna wakati nilihisi ndivyo tulivyopangiwa kuwa. Kuna wakati nilihisi mafanikio tunayoyasaka ni mipangilio ya mzungu alioleta labda hii ligi sio yetu kwa maana asili yetu ilikuwa ni bush kufanya hunting and gathering. Lakini i was wrong, Sio kwamba sisi ni...
  5. Webabu

    Vita vya Gaza ndio vinahitimisha ukombozi wa kifikra kwa walimwengu wote.

    Uonevu,ubabe na udanganyifu pamoja na woga wa baadhi ya watu kwa binadamu wenzao ambavyo vimeoneshwa tangu mwanzo wa vita hivi hakuna shaka kutaleta mabadiliko ya maana kwa dunia nzima. Kwa nje na kwa akili za kibinadamu kuna watu wanadhani Hamas na wenzao ndani ya Palestina wameshindwa.Kiundani...
  6. Comrade Ally Maftah

    Pre GE2025 Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 - sera (tutawainua kiuchumi na kifikra)

    MAPENDEKEZO KUHUSU SERA NA KAULI MBIU KATIKA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA - 2024 MKOA WA DAR ES SALAAM ( WILAYA YA KINONDONI ) Na Comrade Ally Maftah JITU LA MIRABA PENDEKEZO LA KAULI MBIU "TUTAWAINUA WANACHI KIUCHUMI NA KIFIKRA" Mapendekezo yatakuja zaidi kwa maana ya matamshi. MANTIKI YA...
  7. Kaka yake shetani

    Dhana ya Adam na Hawa kuwa wa mwanzo kwenye dunia na hadithi ya Nuhu ni mada ambazo zimekuwa na hukakasi nyingi za kifikra na kidini

    Watu wamekuwa wakibishana kuhusu uhalisia wa hadithi hizi na jinsi zinavyolingana au kutofautiana na maarifa ya kisayansi na historia. Kwa mfano, wengine wanachukulia hadithi ya Adam na Hawa kama tafsiri ya kiroho zaidi kuliko kama historia halisi, huku wengine wakiiona kama ukweli wa...
  8. M

    Mapinduzi ya kifikra ya Thomas Sankara yaliyoibukia Kwa captain Ibrahim Traore

    Wakuu Ukimuua mwanamapinduzi umeua mwili wake na sio mawazo ya kiana mapinduzi ndani yake. Tom Sankara aliwahi kupata uchungu mkubwa juu ya wizi wa rasilimali uliofanywa Kwa miaka mingi nchini Burkinabe na mfaransa ambae huiba na kwenda kujenga kwake, mapinduzi hayafi kuibuka Kwa captain...
  9. Melki Wamatukio

    Shule ipi humjenga mwanafunzi kiakili, kifikra pamoja na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?

    Je, ni shule za Serikali? Ama ni shule za watu binafsi? Ama si Shule ya Serikali ama ya mtu binafsi yenye uwezo wa kumjenga mwanafunzi kifikra na kumuandaa vyema kwa maisha yajayo?
  10. Nyafwili

    Ukweli Ambao Kila Mwanaume Anapaswa Kuujua • Men's Rights Activist - MRA.

    Habari wana JF, poleni na majukum ya na pale 🤝. Nina mkusanyo wa Nukuu zinazoweza kunukuliwa, maarifa ya kurejesha upya kabisa kuhusu Men's Rights Activist (MRA), ambayo yanaweza kumsaidia mtu yeyote kwa namna fulani. • Maadamu ninaishi, na JamiiForums pia inaishi, uzi unaendelea! Kwa hiyo...
  11. Jelavic

    Kimwili tuko katika ardhi huru ya Tanzania, kifikra tuko utumwani Ulaya

    KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao pengine baada uhuru hawakujulikana sana. Lakin swali la kujiuliza, Ardhi imekuwa huru sio mali...
  12. Vincenzo Jr

    Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  13. and 100 others

    Waafria tuamkeni kifikra

    Muafrika anaabudu Mungu kutoka arabuni na Middle East, hivi Mungu ana upendeleo kiasi hiko ashukie arabuni na Middle East pekee? Wazee wetu walipokuwa wakitoa kafara ya wanyama wageni wakawaambia huo ni uchawi na ni dhambi, lakini kwenye biblia agano la kale kafara zilikuwa zinatolewa na...
  14. Mhaya

    Jaribu kukua kifikra

    Wakati nasoma ushuhuda wa yule binti wa Mbinguni na kuzimu miaka 10 nyuma, kuna vitu viliniingia kichwani. 1. Kamwe usimwamini binadamu. Kitu cha kwanza unachotakiwa kujua binadamu si malaika. Kila binadamu ana maisha ya pande mbili, kuna upande wa kwanza unaoujua, upande mwema lakini pia kuna...
  15. Gol D Roger

    Utashi wa kifikra wa vijana wengi wa kiume unazidi kupungua kwa kuendekeza kuangalia video/picha za ngono

    Utafiti wa BBC unasema asilimia 37% ya internet search history zinahusiana na haya mambo na asilimia 35% ya downloads zote kwenye internet zinahusiana na haya mambo, vilevile asilimia kubwa ya watu wanao-search haya mambo ni wanaume tukiwa na asilimia 80% na wanawake asilimia 20% Tasfiri yake...
  16. S

    Wabongo ni watu wajinga sana kifikra na wanaongozwa kwa imani potofu za kishirikina

    Za asubuhi wakubwa na wadogo, Mimi jamani humu ndani nishaongea sana kuhusu Mambo ya Imani, mambo ya dini, mambo ya kishirikina, mambo ya uchawi na mengineyo. Jamani ifike muda wabongo tubadilike. Tunaachwa nyuma sana, maendeleo yanaanza kifikra afu ndo ki fedha. Kama akili hazipo sawa hata...
  17. Street brain

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha

    Kujenga vijana kifikra ni muhimu sana katika kuwawezesha kuwa na mawazo na mtazamo mzuri wa maisha. Hapa kuna hoja kadhaa za kujenga vijana kifikra: Elimu yenye ufahamu: Badala ya kuzingatia tu kujifunza kwa ajili ya mitihani, ni muhimu kuhamasisha vijana kufikiri kwa kina, kuuliza maswali, na...
  18. choza choza

    Kupangiwa kazi vijijini tayari unakuwa umeuliwa kifikra na kitaaluma

    Mtumishi aliyeko vijijini huko kujiendeleza labda kulima na kufuga huko ila kwenye mambo ya kitaaluma inakuwa ndio mwisho wako. Huwezi hata kujiendeleza kitaaluma kupitia evening classes maana hakuna vyuo, colleges wala VETA, vyote hivyo asilimia kubwa vipo vijijini. Kupata ruhusa kwenda...
Back
Top Bottom