Mioyo ya nyama imeumizwa na kusikitishwa mno na kifo cha Binti mwenye ualbino Asimwe aliyeuawa kikatili na viungo vyake kunyofolewa na kila kona tunasikia maoni ya watu wakionesha kuumizwa sana.
Kifo cha Asimwe kimetufundisha jambo moja kubwa ,kwamba bado Taifa lina uhitaji mkubwa wa adhabu ya...
Tangu jana Kuliporipotiwa Tukio la Paroko msaidizi kuhusika na Tukio la Kutekwa,Kuawa wka Binti Mrembo Asimwe(2) Kumekuwa na hisia tofauti juu ya wahusika hao Hususanai Mhusika wa Kwanza Ambaye ni abab yake pamoja na mtu aliyetajwa kwa jina la aElipidius Rwegoshora ambaye inadaiwa kuwa ni Paroko...
Ananilea Nkya kupitia mtandao wa X amesema kuwa miaka ya nyuma tulishuhudia mauaji ya albino kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu.
ALBINO: MSIMU wa uchaguzi umekaribia, miaka ya nyuma nyakati kama hizi tulishuhudia mauaji ya KIKATILI ya watu wenye UALBINO kwa sababu za kishirikina. Mwaka huu...
Taarifa za kifo cha huyu mtoto zimeumiza mioyo yetu, mtoto wa miaka miwili kufanyiwa ukatili huu si jambo la kulifumbia macho na ilipaswa tupaze sauti tangu alipokamatwa tarehe 30/05/2024.
Uhai wa Asimwe umedhulumiwa na watu wabaya kwa sababu zao wanazozijua wenyewe lakini kama Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.