1. KUTOSIMAMA NA VITI MAALUM 2020 KIMKAKATI
Baada ya uchaguzi kuisha na kushindwa kwa anguko kubwa Zaid yani hakuna mbunge hata mmoja kutoka CDM alieshinda. Wakasusia matokeo ya uchaguzi na kusema hawatopeleka wabunge wa viti maalum bungeni ( hii ilikuwa kosa kwao maana Magu effects, ilikuwa...