Watu bado wanatafuna pesa tu za serikali? Posho zimerudi, semina zimerudi, Shimiwi imerudi, washa zimerudi, mikutano imerudi, kongomano zimerudi, overtime zimerudi, fulana na kofia za semina wanavaa, kule Morogoro jioni baada ya semina wanakesha Star Park, Terminal Pub na Samakisamaki siku...
Meya mstaafu wa jiji la Dar es Salaam, Boniface Jacob, amesema kuwa alipokea taarifa kwamba Jumanne, tarehe 10 Septemba 2024, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni, kupitia Mkuu wa Upelelezi wa Mkoa (RCO), liliwasiliana na mawakili wa CHADEMA na kuwaeleza kuwa wanamuhitaji Katibu Mkuu wa chama...
Hakuna kinachozuia IGP kujiuzulu kwa haya yanayoendelea. Mauaji ya watu wasio na hatia tena mchana kweupe wanakwapuliwa kwenda kuuawa ni dhahiri polisi na usalama wanashirikiana kutekeleza hayo.
TISS ipo chini ya ofisi ya Rais na aliitaka ikae chini yake kupitia mabadiliko ya sheria ya TISS...
ally kibao atekwa
ally kibao auawa
ally mohamed kibao
igp
igp kujiuzulu
kifochakibao
rais samia
salam za rais samia
siasa tanzania
usalama wa taifa
utekaji tanzania
uwajibikaji
watu wasiyojulikana
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema wanatarajia kupokea taarifa ya Uchunguzi kuhusu kifo cha aliyekuwa Mshauri wa chama hicho, Ali M. Kibao aliyeripotiwa kuuawa na watu wasiojulikana na kueleza ikiwa tofauti na walichoona wataipinga
Mbowe amesema hayo baada ya zoezi la uchunguzi...