kifo cha kiongozi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Vyama vyetu vya Siasa hakuna chenye mahusiano ya Kirafiki na HAMAS ya Palestine?

    Hadi sasa Sijaona Salamu za rambirambi kutoka chama chochote cha Siasa nchini kufuatilia Kifo Cha Kiongozi mkuu wa Chama Cha Hamas Ismael Haniyeh Ndio kusema Hamas hawanaga Chama rafiki hapa nchini? PIA SOMA - Kiongozi Mkuu wa Hamas, Ismail Haniyeh afariki baada ya kushambuliwa akiwa Iran
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…