Nashauri Kanisa Katoliki, wakiongozwa na Padri Kitima ambaye hujitanabaisha kutetea haki za aina mbali mbali, wajitokeze kutoa neno kuhusu jambo lililofanywa na waumini wao pamoja na mlinzi, tena ndani ya eneo la kanisa.
Matamko yasiishie katika siasa tu ambako huwa tunalenga kusaidia vyama vya...