Wakuu,
Mwanasiasa John Mwanga (78), aliyewahi kuwa Mbunge wa Moshi Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025.
Mwanga, ambaye aliweka historia kuwa mbunge wa kwanza wa Moshi Mjini baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi nchini, amefariki dunia...