Mwanaharakati huru kama anavyojiita, Cyprian Musiba amesema kama mtanzania ameumia sana na matukio ya utekaji na kupotezwa kwa watu hususan tukio la hivi karibuni la kuuawa kwa Ali Mohammed Kibao. Hata hivyo, amesema kama mtanzania anapinga kutumia matukio kama haya kuanza kushambulia watu...
Mh Rais Mimi sifi Leo nimepokea salamu ZAKO za pole kwangu kufatia kifo Cha mzee Kibao Mwanajeshi aliyepigana vita vya kagera.
Kada mwenzangu wa Chadema kiongozi wangu kitaifa katika chama
Nimepokea salamu ZAKO za pole kwa masikitiko makubwa sana nimelia nimelaani WALIO muua ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.