Nimesikia kuwa msainii wa reggae wa Afrika kusini, Senzo Mthethwa, yupo hai na kwamba hakuuawa na Lucky Dube kama ambavyo nilisikia hapo awali.
Senzo nilikuwa namkubali sana kwa kazi zake kama "Nothing but Prayer", " Irene", "Worshiping Your Love", "Am Sorry".
Je, taarifa za kuwa yu hai ni...