Sisi mashabiki wa Yanga tumesononeka na kifo cha Yusuph Manji.
Lakini viongozi na taasisi ya Yanga hawajaupa uzito msiba huu wa kiongozi aloyejitoa muda, nguvu na zaidi pesa zake kuijenga na kuipa mafanikio team yetu ya Yanga.
Yanga wameshindwa kuomboleza japo kuamru bendera za team yetu...