Nimeitafakari sana kauli ya Zitto aliyoitoa kipindi kile ana mgogoro na kilichokuwa chama chake cha CHADEMA mwaka 2014. Akijaribu kumaanisha kuwa huenda kifo cha Chacha Wangwe kilikuwa na walakini ambao yeye hatokubali kufa kinamna hiyo!
Leo hii nikimuona Tundu Lissu analalamika kuwa kuna gari...