kifo chake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  2. Dejavu: Abraham Lincoln, Rais wa Marekani aliyeota kifo chake

    DEJAVU: ABRAHAM LINCOLN, RAIS WA MAREKANI ALIYEOTA KIFO CHAKE Katika historia ya dunia, kuna matukio ya ajabu ambayo yamewashangaza watu wengi. Moja ya matukio haya ni uwezo wa baadhi ya watu kutabiri au kuhisi matukio yatakayotokea, jambo linalojulikana kama déjà vu au hata ndoto za utabiri...
  3. D

    Sukuma gang tunasema hii ni laana ya Magufuli kwa mbowe baada ya kushangilia kifo chake.

    DJ, DJ, DJ nimekuita mara tatu wahi chato ukaombe radhi... Sasa umekufa kisiasa umebakizwa kuzikwa. Ulimsema sana mzilakende kwa ukabila na kuzusha uongo mwingi leo sacos yako inaenda kufa iko hoi taabani na dawa pekee ni wewe ubwage manyanga au uongoze chama maiti.
  4. Siku moja kabla ya kifo chake Mafisango aliteketeza milioni 10 kwa starehe,cha ajabu hakuwa amejenga kwao

    Marehemu asemwi vibaya ila huyu mwamba alinifurahisha sana. Mmoja kati ya viungo bora kabisa wa enzi zake,siku moja kabla ya kifo chake,Isnsil Aden Rage akimpatia milioni zaidi ya kumi kama sehemu ya ada ya usajili wake. Mafisango akaita marafiki zake wakaitumbua aswaa,ilikuwa ni kuhama bar tu...
  5. Je, wajua hili kuhusu kumbukumbu ya kifo cha Rais Mwinyi?

    JE WAJUA? Rais mwinyi amefariki 29/02. Hii tarehe mpaka kuja kuipata tena ni hadi miaka minne ijao yaani mwaka 2028, 2032, 2036, 2040, nakuendelea... Kwa maana hiyo kumbukumbu ya kifo chake itakuwa ikiadhimishwa kila baada ya miaka minne. 🙌🙌 R.IP Rais Mwinyi
  6. Nilichomfanyia Bosi wangu hatakuja kusahau mpaka kifo chake

    Ilikuwa miaka kama 6 hivi iliyopita, watumishi wa kada yetu tulikuwa wachache, muda wa kazi au masaa ya kazi kwa wiki au mwezi yalikuwa mengi zaidi ya yale masaa ya shirika la kazi duniani. Hatukulipwa posho ya muda wa ziada (extra duty allowance). Tulikuwa tunafanya kazi mpaka unahisi homa...
  7. Alisema siku ya kifo chake watu wasihuzunike, bali wale na kunywa

    Tuwe makini na kauli ambazo tunazizungumza kwa ndugu zetu hasa hasa wosia usio na tija Alisema kama wangelia lia, angeliwasumbua. Waamua kumfanyia surprice ya maana Nisiseme mengi Alamsiki
  8. Mke atuhumiwa kumpiga mumewe kwa rungu na kupelekea kifo chake

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja Mkoani Iringa amempiga na rungu mumewe hadi kupelekea kifo baada ya kuwepo kwa ugomvi kati yao. Jeshi la Polisi Mkoani Iringa limethibitisha kumshikilia mwanamke aitwaye Aurelia Kalolo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 40 kwa kosa la kumpiga...
  9. Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  10. Auawa kwa kuchomwa moto akituhumiwa kumlawiti mtoto hadi kusababisha kifo chake

    Wananchi wenye hasira katika Kata ya Isanga, jijini Mbeya, wanadaiwa kumuua kwa kumchoma moto mtu ambaye hajafahamika jina lake, kwa tuhuma za kumlawili mtoto wa miaka mitano na kusababisha kifo chake. Imeelezwa tukio hilo limetokea Juzi, Jumatatu Agosti 21, 2023 saa 1:45 usiku na kwamba...
  11. Usiyoyajua Kumhusu Le Mutuz Super Brand!, Je Wajue Alijitabiria Kifo Chake Kabla?. Aliandika Kila Kitu. Could He Be The Top Most JF Celeb Wetu?

    Wanabodi, JF bado tuko kwenye maombolezo ya kumlilia member mwenzetu William Malecela, kwa jina maarufu Le Mutuz Super Brand ambaye kesho Jumatano saa 9:00 Adhuhuri ndipo atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, kwenye makaburi ya familia ya Malecela pale Mvumi Mission, Dodoma. Kuna mengi...
  12. Mzee ameanzisha mahusiano na 'jini' na anacheza na chanzo cha kifo chake. Sidhani kama atamaliza mwaka

    unakuta alikuwa mdingi na heshima zake na nyie mnamwamkia na kumtambulisha kwa watu kuwa huyu ndo mdingizela, kumbe anavyozidi kukua akili zake zinarudi utotoni. imagine siku upo umechill sehemu unaona video ya mdingezela anacheza na 'jini' lake hivi? Si watu huwa wanasema pesa za wastaafu zina...
  13. T

    Vita na mafisadi na wauza madawa ni kukiendea kifo?

    Binadamu wote ni jasiri! Hata mimi na wewe, sote ni majasiri na wakati mwingine vile viwango vyetu vya uvumilivu vinapokoma, nafsi na miili yetu hufika ukomo wa kuona maumivu kufaa kuvumilika tena, na hatimaye hujikinahi na kuona sawa tu kwa lolote! Na hapo mtu hukubali hata kukabiliana na kifo...
  14. J

    Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

    Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa. Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo aliyechezewa rafu na mwendazake ni wa kimataifa na anaishtaki Serikali. Leo tena tumeona ndege ya...
  15. Dhana potofu ya kwamba kila mtu kaandikiwa kifo chake

    Well, previous I developed a topic for y’all lads centered on God’s omniscience-ness and I discussed a bit on how death can be affected by conscience. So this topicwill be serving as a tie-in spinoff and will be focusing on death and conscience respectively. Imekua kama jambo la kawaida kwa...
  16. Mume wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Nigeria (Osinachi Nwachukwu) akamatwa

    Polisi wamemkamata mume wa mwimbaji nyota wa nyimbo za Injili nchini Nigeria, Osinachi Nwachukwu, baada ya kufariki siku ya Ijumaa Aprili 8, 2022 katika hospitali ya Abuja. Ripoti za awali zilisema kuwa msanii huyo mwenye umri wa miaka 42 alikuwa akiugua saratani ya koo, lakini familia yake...
  17. WanaCCM wamechukia na hawashiriki chaguzi za ndani za CCM

    WanaCCM wengi wamesusa kuchukua fomu na kishiriki chaguzi zinazoendelea. CCM ya sasa imegeuka na kuwa CCM ya wajuaji na wapigaji. WanaCCM wanaojitambua wameghazibika na sasa wameichukia CCM. Hayati JPM hachafuki. WanaCCM wanajua kabisa wanakibarua cha kutoyaenzi mazuri ya hayati JPM.
  18. Picha ya Archduke Ferdinand wa Austria, kifo chake ndiyo kilisababisha WWI

    November 3, 1527: "Ferdinand, Archduke of Austria was elected as King of Hungary. Ferdinand was the second son of Juana of Castile and Philip of Burgundy. Born in Alcala de Henares, Spain, he spent the majority of his youth in Spain, where he formed a close relationship with his grandfather...
  19. Historia ya kusisimua kuhusu Peter Tosh na kifo chake

    PETER TOSH, ALIKUWA MTU WA KUUAWA TU(a man who must be killed), KWA SABABU ALIKUWA MTU NA NUSU, HAKUWA MTU WA KAWAIDA Bunny Wailer amnyooshea kidole mjane wa Bob Marley, Rita Marley. Ulikuwa ni usiku wa joto jingi katika mji wa Kingston nchini Jamaica. Usiku ambao haukukomaa saana tangu jua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…