Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) amejibu kauli ya Rais Samia kuwa 'Kifo ni Kifo tu' amesema
"Ni kweli vifo vipo vingi na watu wengi wanapoteza maisha, tunakubali, lakini maisha yote haya yanayopotea kila mmoja una thamani...