Shirika la Afya Duniani (WHO) limechapisha ripoti mpya kuhusu hali ya Kifua Kikuu (TB) ikifichua kwamba takriban watu milioni 8.2 waligunduliwa hivi karibuni kuwa TB mwaka wa 2023 - idadi ambayo ni kubwa zaidi iliyorekodiwa tangu WHO ilipoanza ufuatiliaji wa TB duniani mwaka 1995.
Hili...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema idadi ya Vifo vya Wajawazito vimepungua kutoka Vifo 556 vilivyotokea mwaka 2016 hadi kufikia Vifo 104 kwa kila Vizazi Hai 100,000
Akiwasilisha Bajeti ya Wizara ya Afya kwa mwaka 2024/25 Bungeni, pia, Waziri Ummy amesema Vifo vya Watoto wenye chini ya Miaka...
Wakuu,
Tulikuwa tunapiga stori kijiweni wakasema kama huna kovu la ndui kwenye bega la mkono wa kulia basi ujue chanjo hiyo haijafanya kazi. Kwahiyo sisi ambao hatuna hilo kovu ndio inamaanisha chanjo iligoma kufanya kazi au?
Hii ni kweli, au maneno tu ya mtaani? Maana sioni kabisa uhusiano...
Shirika la Afya Duniani WHO Wametoa taarifa walisema ugonjwa wa homa ya Ini ni Hatari sana Kwa Mwandadamu kuliko Virusi vya Ukimwi HIV na Ugonjwa wa Kifua Kikuu..
Tuchukue tahadhari ikiwemo chanjo ya homa ya Ini
===
Mashirika ya afya likiwemo la Afya Duniani (WHO), yanaonya kuwa homa ya ini...
Kifua kikuu ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vya bakteria na huenezwa kwa njia ya hewa. Mtu mwenye maambukizi ya kifua kikuu akikohoa, kupiga chafya au kutema mate ovyo husambaza vijidudu hivyo hewani, huweza kumwambukiza mtu mwingine.
Siku hii huadhimishwa Machi 24 kila mwaka ili kuongeza...
Serikali imetoa Shilingi bilioni 97 kwa ajili ya kupambana na maambukizi ya TB ikiwemo kuimarisha huduma za afya vijijini na kupata takwimu sahihi.
Hayo yamesemwa jana na Naibu Waziri Dkt.Godwin Mollel wakati wa uzinduzi wa Muungano wa wadau wa kupambana na kifua kikuu Tanzania ulioshirikisha...
Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi
Na Englibert Kayombo WAMJW - Dodoma
Serikali ya Tanzania imeazimia kutokomeza kabisa ugonjwa wa kifua kikuu kwa kuongeza uwezo wa ugunduzi wa wagonjwa wapya wa kifua kikuu na kuwaweka kwenye matibabu.
Kauli hiyo imetolewa na Mganga Mkuu wa Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.