Mbunge wa Jimbo la Igunga Nicholaus George Ngassa, amewataka Wananchi wa Jimbo la Igunga kutembea kifua mbele kwa kuwa Serikali ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imejipambanua kushughulikia kero za Wananchi, kuimarisha huduma za jamii na kujenga uchumi jumuishi unaogusa maisha ya Watanzania...