Bwana Erick Lucas Simtengu [24] mkazi wa Kijiji cha Mbugani Wilayani Chunya amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Isenyela mwenye umri wa miaka 15 [Jina linahifadhiwa].
Hukumu hiyo imetolewa katika...