Kupata kifungua kinywa ni namna nzuri ya kuianza siku yako, huupa mwili nishati ya kutosha unapoanza kuyakabili majukumu ya siku mpya.
Kwa wanafunzi, tafiti za kisayansi zinaonesha umuhimu wa mlo huu kwenye kuongeza uwezo wa ubongo katika kufikiri, kutunza kumbukumbu, kushiriki kikamilifu...